Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.

Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa.

Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India, nilipata shida sijawahi kuona.


View: https://x.com/Bushra1Shaikh/status/1890387643365544434?s=19
Sijaongelea English ya Nigeria ambayo sijui hata hua wanaongea nini.
 
Kingeleza au lugha yeyote ile huathiriwa na lugha mama ya mahali huska. Mfano kingereza cha tanzania na cha kenya ni tofauti kabisa. Kiingereza cha kihindi kimeathiriwa na lugha mama ya kihindi hivyo muhindi hawezi kufikisha maneno matano hajachanganya na kihindi. Hivyo trump ambaye anaongea pure american english hawezi kuelewa india-english language.
 
Ile ya Nigeria siyo english, iite kilugha chao. Yaani ni english iliyo corrupt mno. Kuna ile ya ndani kabisa halafu kuna wengine unakuta wanajaribu kuzungumza english ya kawaida lakini ina ile lafudhi.
 
Trump Bado hujakutana na Kingereza cha msomi, professional profesa wa Tanzania, mbunge wa CCM, mama Ndalichako aliyekuwa Katibu wa Baraza la mitihani
 
Mimi huwa naona ni bora hata hiki cha kihindi kuliko ukikuta na mtu wa Scotland anazungumza kile cha kwao cha ndani.
 
Humu tuu
 

Attachments

  • 88987E25-6F69-4194-A259-A5CEFF6B2E42.jpeg
    38.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…