Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

ile ya Nigeria ni ngumu mnno, its called Nigerian Pidgin English 😀
 
Ile ya Nigeria siyo english, iite kilugha chao. Yaani ni english iliyo corrupt mno. Kuna ile ya ndani kabisa halafu kuna wengine unakuta wanajaribu kuzungumza english ya kawaida lakini ina ile lafudhi.
Ile ni Yoruba iliyochangamka.
Sopoti->suport
Anima->animal
Soni->son
Lovu->love
Bado kuna jirani zao waghana hapa ni shida na wajuaji kweli kama naijapolis
 
Trump Bado hujakutana na Kingereza cha msomi, professional profesa wa Tanzania, mbunge wa CCM, mama Ndalichako aliyekuwa Katibu wa Baraza la mitihani
Hahaaaa ,nilicheka sana ile clip ya Ndalichako anampiga Mkwara contractor WA kichina kwamba "I will put you in " akiwa na Maana nitakuweka mahabusu .
Dah ! Halafu professor huyo ,kmamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…