Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa.

Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India, nilipata shida sijawahi kuona.
🤣🤣
 
Kama English ya waskotish
 
Kuna kirengesa na kingereza
Wa Tanzania tunaongea kirengesa
Kenya wanaongea kingereza .
 
Kwa AFRIKA KENYA,ZAMBIA NA SOUTH AFRIKA NA MALAWI WANAKIINGEREZA KIZURI SANA.TANZANIA TUNAKIINGEREZA KIBOVU TU
Hata sisi kiukweli wageni wanapata shida sana kutuelewa hiki kidhungu chetu

uKitaka kupata mfano mzuri,fatilia mahojiano ya watangazaji wa azam na makocha wageni
 
Hapa Sasa utaonekana hujui lakini kiukweli huwa tunakuwa watumwa wa lugha za wageni, hapa nipo naangalia mkutano wa kawaida wa wakuu wa nchi za Africa (AU) Kila mmoja anahutubia kwa lugha yake nasubiri Rais Samia atahutubia kwa lugha gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…