Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

Tanzania hatuna kingereza Babuu, Kingereza kipi ni cha Tanzania.

Kwa AFRIKA KENYA,ZAMBIA NA SOUTH AFRIKA NA MALAWI WANAKIINGEREZA KIZURI SANA.TANZANIA TUNAKIINGEREZA KIBOVU TU
 
Wahindi English yao huelewi, utakuwa unadaka neno moja moja, na wanachoudhi youtube ukiwa unaangalia videos za tutorials mfano unatizama namna ya ku fix issue flani ya simu, unakuta video title ni english vizuri tu, fungua sasa uanze kutizama unaanza kusikia kihindi tu "aap yahaan klik karen, aap ek baar klik karen, aap oopar jaen, aap yah taip karen"...
 
Fanya kama umetoka kwa xi ping halafu tamka hii kwa lafudhi ya kina jet lee
my shoe shall soon shine uone ilivyo rahisi kucharaza kichina 😁😁
 
Wanaijeria , you dey nah, dis boy una is oga, data iz why I'm oga boy
 
Amne kya kiya, uup kya merra gand maar te!!
 
Muingereza wa London mwenyewe anapata taabu kumuelewa Muingereza wa cornwall au Liverpool.
 
Wanaijeria kile kingereza Chao ni disaster tosha
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ Kwaio mkuu kingereza Cha bukoba πŸƒπŸƒπŸƒ

That wanaivuta na kusema zataaa

☺️😊
Nimekuja kugundua Kuna tofauti ya kuzungumza kingereza na kigugumizi πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hata accent yako ya Kiswanglish lazima atahitaji translator. Imagine Mkenya work na walk vyote anavitamka wak sasa hapo utamuelewa vipi.
 
Wanaija na wanaijeria wanaongea sawa kilafudhi?

Sijawahi kusikia wanaija wakiongea
Haha itakuwa umemaanisha niger kama niger, ndio nigeria na niger ni nchi mbili tofauti, ila wanigeria hujiita 'wanaija' kama ilivoandikwa na siyo waniger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…