Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

..."Kwa hisani ya Watu wa Marekani"..haya maneno huwa ni kuntu.. kuanzia dawa na vifaa tiba, vyoo mashuleni,...vita vitanii...barabara ..mesafiri nchi mingi za Africa, vijijini na mijini moja ya bango matata ni ."Kwa hisani ya Watu wa Marekani"

In God We Trust
 
Hawa mabeberu wanaturudisha nyuma kunywa klorokwini,tusikubali wanataka tusizaliane ili waje kuichukua afrika (in palamagamba voice and eyes)
Hahahhaaaa...

Na si ajabu ukakuta ni kweli Kabudi ana wazo kama hili kichwani mwake!
 
Chloroquine iliotengezwa Ujerumani ilikuwa haiwashi,lakini chloroquine iliokuwa inatengenezwa na wachina katika kiwanda cha shirika la umma MADAWA kule Keko ndio ilitusumbuwa sana.Sema wakati huo majority ya chloroquine nchini ilitoka katika kiwanda hicho,lakini baadhi ya Hospitali na zahanati za taasisi za dini,n.k
 
Daaaaah hii dawa sitaki hata kuikumbuka mateso yake

Kwanza chunguuuuuu,halafu inalewesha balaaaah,ukiimeza ikifika kwenye koo inakwama hehehehehe

Nilikua nikinywa tu naanza kujsikia kama vile kuna mtu ananichoma choma mgongoni na kitu chenye ncha kali

Uchungu wa ile dawa ulinifanya nikitaka kuimeza,natafuta ndizi mbivu,halafu kidonge nakiweka katikati ya ndizi kisha nameza ndizi ili isinikwame kooni, daaaah!!
 
hii dawa ilikuwa kiboko...uchungu wake ulikuwa hauelezeki kwakweli sasa sijui watakuwa wamepunguza ukali
 
Hii dawa ilitumika hata China,Ulaya pia inatumika. USA wamefanya kufuata mkondo wa dawa zilizotumika huko china. Ila hii dawa kuna watu huwa inawawasha. Mimi sikuwahi Kabisa kuwashwa na hii dawa sema ilikuwa chungu. Sindano yake ilikuwa inanifanya nisione vizuri kwa masaa kadhaa.
 
Sambusa kavu,
Nilikuwa naiweka ndani ya tonge la ugali halafu nalimeza.
Ila tonge likawa linakwama kooni au mda mwingine najisahau natafuna lile tonge.

Ile dawa ni noma
Hii technique matata sana.
Ilkuwa unalimeza kwa kasi ya ajabu lkn ukikwama kinayeyukia kooni.
Hapo mtiti wake ni masaa 8 ya uchungu mdomoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dawa ya tangawizi + limao na asali ndio dawa yangu kuu ya kikohozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boris Johnson refuses to say if UK is testing anti-malaria drug touted by Donald Trump as possible coronavirus treatment as he reveals just ONE patient is in a clinical trial

  • The US today announced it was fast-tracking the use of an anti-malarial drug
  • Tests of chloroquine on coronavirus patients have showed it is promising
  • Furious Britons launched a petition calling for trials of the same drug

  • Donald Trump today promised to fast-track an anti-malaria drug called Chloroquine to treat coronavirus in the US after it was used in China and South Korea.
    His announcement contrasted directly with Boris Johnson who will not say if Britain will test it - and revealed the first trial of a potential cure involves just one patient.

    Researchers around the world are desperately hunting a cure, amid fears thousands more patients will be struck down by the life-threatening illness.

  • Britain's Prime Minister, who also announced the UK will buy 'hundreds of thousands' of antibody kits, did not reveal which drug the British patient was being given.

  • Meanwhile US President Mr Trump said the drug would be available to sufferers of the virus 'almost immediately', despite not being formally approved by the Food and Drug Administration (FDA).

    Access to prescriptions will be expanded so that US health officials can gather data on how patients respond.

    The move increased pressure on the UK Government after furious Britons launched a petition calling on No 10 to begin trials of the same drug, available over-the-counter.

    Officials banned pharmaceuticals from exporting chloroquine – and a HIV drug – last month, in a bid to protect the UK's stocks of the experimental treatments.

    It is unclear how much stock the UK currently has - and the Department of Health has not yet responded to a request from comment by MailOnline tonight.

  • More:PM reveals British patient is taking part in coronavirus cure trial
 
Mimi nimeshatengeneza Muarobaini cocktail halafu nimeuweka kwenye friji nangojea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…