FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
Mimi sio muumini wa hayo mabishano yenu and probably Trump ndiye ana nafasi kubwa kushida uraisi mpaka sasa ila kuhusu mengi aliyo yaongea Trump kwenye debate ilikuwa ni uongo na alifeli kujibu maswali mengi tu kama vita ya Ukraine, IVF ambapo yeye na running mate wake wanapishana yaani mmoja anaikubali na mwingine anaikataa halafu wanamuiliza vipi tena wenyewe mnakinzana? Anajibu kwamba hawajawahi kukaa kuzungumzia hilo, issue za Abortion, plan yake mpya kwenye OBAMA CARE hakuwa na jibu sahihi, aliulizwa sababu za kuiua bipartisan immigration Bill hana majibu.... sasa alionewa wapi?
Kwenye fact checks watu wanaacha kuangalia logic wanaanza kudai kaonewa ukiuliza wapi? Mara oooh aliulizwa maswali magumu, jambo la kushangaza ni kwamba kwenye presidential debate maswali mengi yanafanana.
Ndiyo maana yeye mwenyewe kuna vitu alikuwa anaongea akiambiwa athibitishe anashindwa.
Hizo statistics unazosema ni za uongo sio kweli mkuu, majibu yote ambayo yametolewa ni sahihi kabisa unless uje na data sahihi according to you.
Alipotoka pale alijinadi kwamba hiyo ndiyo debate yake bora zaidi na akadai kashinda lakini baada ya kuona upepo sio wake kwenye mitandao ndipo zikaanza sababu ambazo kiuhalisia hazina mashiko yoyote.
Alidai anataka Fox ndio wahost debate zake ama next debate lakini hao hao jana wamekiri kwamba jana alizidiwa kila sehemu. Mwenzake alikuwa anatoa facts+ figures huku yeye akiwa anatumia ujanja mdomoni.
Kiuhalisia ni kwamba Trump hajawahi kuwa smart sana kama ambavyo watu wanaiaminisha mitandao ila ni mtu ambaye anajiamini na ni mjanja mjanja sana. Kama nitakuwa sawa 2020 alipoteza debates 2 kwa Biden ni juzi tu alimkuta Biden kashachoka hata kujielezea hawezi.
Mistake yake kubwa ni kufanya debate na huyo mama, haikuwa na faida yoyote kwake zaidi ya kumtangaza huyo mwanamama. Kosa lake lilianzia hapo na alikuja kama kakurupuka kwa sababu hakuwa na jambo lolote jipya la kulileta na alikuwa mtu wa kukimbia maswali na kuhama hama topics.
Sometime tusitumie hisia zaidi kwenye sehemu za kutumia akili ndogo tu.