Trump atangaza kutoshiriki tena midahalo ya urais

Siku mbili tu tangu mdahalo wa wagombea uraisi wa Democratic na Republican,Donald Trump amekubali kwamba hakufanya vizuri mbele ya mgombea wa Democratic ,bi Kamala Harris.

Kutokana na hali hiyo Trump amesema hataki mdahalo mwengine na mgombea mwenzake kabla ya siku ya uchaguzi.Akasisitiza kwamba Kamala amekuwa akishinikiza kongamano jengine kwa vile anajiona ameshinda.

Iwapo Donald Trump atajiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho cha uraisi ataandika historia kwa demokrasia ya Marekani ambapo itakuwa wagombea wawili kutoka vyama tofauti kujiondoa kwenye uchaguzi na kumuachia mmoja ashinde bila uchaguzi.
Trump changes course again, says he won't hold another debate with Harris

Hoja hupingwa kwa hoja siyo siri, mwamba alizidiwa mno.

Kwamba kama samaki, akakaangwa vilivyo kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Ieleweke kwamba kura za wananchi ndizo zinapelekea kupatikana kwa hizo kura za Electoral College.
 
Siku mbili tu tangu mdahalo wa wagombea uraisi wa Democratic na Republican,Donald Trump amekubali kwamba hakufanya vizuri mbele ya mgombea wa Democratic ,bi Kamala Harris.

Kutokana na hali hiyo Trump amesema hataki mdahalo mwengine na mgombea mwenzake kabla ya siku ya uchaguzi.Akasisitiza kwamba Kamala amekuwa akishinikiza kongamano jengine kwa vile anajiona ameshinda.

Iwapo Donald Trump atajiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho cha uraisi ataandika historia kwa demokrasia ya Marekani ambapo itakuwa wagombea wawili kutoka vyama tofauti kujiondoa kwenye uchaguzi na kumuachia mmoja ashinde bila uchaguzi.
Trump changes course again, says he won't hold another debate with Harris
Watu mnapenda sana ku spin habari. Unapoamua kutumia uongo katika kuaminisha watu utakacho unapata faida gani? Wapi aliposema ameshindwa?
Mbona sababu za kwanini hatakubali mdahalo mwingine haujaziweka katika maneno yako?
 
Uzee nao ni tatizo jingine.Lakini Kwa mwenendo wa kura za maoni Trump kwanza ku bridge Ile Gap iliyokuwepo kati yake na Harris.

Kiufupi hakuna mwenye clear chance ya kushinda japo nimeona mtu mmja anasema Trump anaweza penya Kwa ushindi wa swing states.

Wakati huo huo mtabiri Maarufu wa Marais ambae ametabiri Kwa ushahidi mara 9 out of 10 Kwa kutumia kanuni zake amempa Ushindi Harris.

Binafsi napenda Harris ashinde.
 
Siku mbili tu tangu mdahalo wa wagombea uraisi wa Democratic na Republican,Donald Trump amekubali kwamba hakufanya vizuri mbele ya mgombea wa Democratic ,bi Kamala Harris.

Kutokana na hali hiyo Trump amesema hataki mdahalo mwengine na mgombea mwenzake kabla ya siku ya uchaguzi.Akasisitiza kwamba Kamala amekuwa akishinikiza kongamano jengine kwa vile anajiona ameshinda.

Iwapo Donald Trump atajiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho cha uraisi ataandika historia kwa demokrasia ya Marekani ambapo itakuwa wagombea wawili kutoka vyama tofauti kujiondoa kwenye uchaguzi na kumuachia mmoja ashinde bila uchaguzi.
Trump changes course again, says he won't hold another debate with Harris
Donald Trump kamwe hawezi kujiondoa kwenye kugombea. Labda afe au awe kwenye coma.
 
After the debate ended Tuesday night, Republican Rep. Mike Collins of Georgia posted to X, "You want to know who won? Find out who refuses to do a 2nd debate."
 
Siku mbili tu tangu mdahalo wa wagombea uraisi wa Democratic na Republican,Donald Trump amekubali kwamba hakufanya vizuri mbele ya mgombea wa Democratic ,bi Kamala Harris.

Kutokana na hali hiyo Trump amesema hataki mdahalo mwengine na mgombea mwenzake kabla ya siku ya uchaguzi.Akasisitiza kwamba Kamala amekuwa akishinikiza kongamano jengine kwa vile anajiona ameshinda.

Iwapo Donald Trump atajiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho cha uraisi ataandika historia kwa demokrasia ya Marekani ambapo itakuwa wagombea wawili kutoka vyama tofauti kujiondoa kwenye uchaguzi na kumuachia mmoja ashinde bila uchaguzi.
Trump changes course again, says he won't hold another debate with Harris
Watu mnapenda sana ku spin habari. Unapoamua kutumia uongo katika kuaminisha watu utakacho unapata faida gani? Wapi aliposema ameshindwa?
Mbona sababu za kwanini hatakubali mdahalo mwingine haujaziweka katika maneno yako?
Kwani umeisoma hiyo habari yote ?
 
Uelewa wangu mdogo uwa unawamia hapo kwenye chuo Cha Uchaguzi, what is wajumbe hao 538 wakaacha kumteua Rais ambaye Wengi wamefanya wajumbe wamepatikana?
 
Nakuunga mkono,niliona kama mama kamala alijiandaa vyema na facts.

Nimeshangaa sana namna trump anavyobabaika mpaka najiuliza kwamba speech kama hizi ambazo ni muhimu kwa nini mtu asitumie japo siku nzima kuandaa namna ambavyo atazungumza na all possible questions ambazo anaweza kuulizwa akaandaa kabisa majibu hake ?

Nina wasiwasi mama kamala ndicho alichofanya,alijiandaa vyema na akatafuta majibu ya kutosha kwenye ajenda za trump ili awe nondo then akaingia mtaani.
Trump ana vitu kama vitatu ambavyo vinamsumbua na kuna muda huwa vinamuangusha kwenye baadhi ya mambo.
1. Ego
2. Arrogance
3. Overconfidence
 
Mkuu ninakuunga mkono 100%
Issue ni wanaume wenyewe ni kina nani na wanawake wenyewe ni kina nani?
Kumbuka USA walishatoka huko kwenye kuchagua kiongozi kwa misingi ya rangi ya ngozi, jinsia au umri, ukiwa na sera za kuwashawishi watakuchagua tu.
 
Waendesha mdahalo ilitakiwa wawe katikati, lakini walikuwa timu Haris hata mtoto mdogo aliyefuatilia madahalo aliona hicho kitu, kwa suala la Ukraine Democratic wanaiangamiza Ukraine, wana,uogopa Putin.Hakuna wanachosaidia
 
Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris.

Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump kuhenyeshwa vibaya na mpinzani wake wa chama cha Democrat, mwanamama Kamala Harris kwenye mdahalo wa kwanza uliowakutanisha wawili hao.

Soma Pia: Kamala, Trump wavutana katika Mdahalo wao, kila upande wadai umefanya vizuri
---
Washington — Former President Donald Trump announced Thursday that he won't debate Vice President Kamala Harris again, following Tuesday night's meeting between the two in Philadelphia.

"THERE WILL BE NO THIRD DEBATE!" Trump said at the end of a long post on his Truth Social account. The first presidential debate was in June between Trump and President Biden.

"When a prizefighter loses a fight, the first words out of his mouth are, 'I WANT A REMATCH,'" Trump wrote in his post, explaining why he doesn't want another debate and insisting unnamed polls showed he won.

But initial polls by Reuters, YouGov and CNN showed a wide majority of voters thought Harris outperformed Trump. Most commentators and observers agreed that Harris got the upper hand in the showdown, with the vice president generally remaining on the attack while putting Trump on the defensive.

Trump at times struggled to focus his messaging, repeating debunked claims that Haitian migrants are eating pets, insisting people aren't leaving his rallies early and saying he has "concepts" of a health care plan.

Shortly after Trump's post, Harris addressed a crowd at a rally in North Carolina, where she said she was open to another debate.

"I believe we owe it to the voters to have another debate," she said.

Many of Trump's allies also said that Harris had come out on top in Philadelphia. Robert F. Kennedy Jr., who endorsed Trump after dropping out of the race for president, told Fox News on Wednesday that Harris "clearly won the debate in terms of her delivery, her polish, her organization, and her preparation," even though "I think on substance, President Trump wins in terms of his governance."

"But he didn't tell that story," Kennedy told Fox News.

After the debate ended Tuesday night, Republican Rep. Mike Collins of Georgia posted to X, "You want to know who won? Find out who refuses to do a 2nd debate."

Source: BBC
Uzi wako umeuandika kishabiki sana,yaani ka vile sisi wengine hatukuufuatilia huo mdahalo,wakati ambapo mdahalo huo uliongewa kwa lugha ya kiingereza lugha ambayo watanzania tunaijua na tunaiongea,mpaka unafikia kiwango cha kusema Trump alihenyeshwa,alihenyeshwa wapi?
Kama wewe ni shabiki wa Camala basi Imekula kwako Marekani bado haipo tayari kutawaliwa na mwanamke,yanaenda kujirudia Yale ya Hilary Clinton,hata baadhi ya wanachama wa Chama Cha Democrat wanaenda kumkataa Camala Haris kwenye sanduku la kura.
 
Trump ana vitu kama vitatu ambavyo vinamsumbua na kuna muda huwa vinamuangusha kwenye baadhi ya mambo.
1. Ego
2. Arrogance
3. Overconfidence
Hata mimi nimeona mkuu.

Nadhani anadhani kwamba wamarekani hawahitaji maneno ya kitaalamu kuwaelezea shida zao,yeye anadhani hivyo.

Lakini kumbe licha ya kwamba raia wanashida ila suala la kupangilia hoja katika mazungumzo ni suala muuhimu sana hata kama shida za watu ziko wazi.
 
Trump alipaswa kufanya huu uamuzi kabla ya mdahalo uliopita, kimtindo amechelewa.
Analeta mambo ya kizushi kwmba kule Springfield Ohio watu wa Haiti sijui wanakula mbwa na paka wa wamarekani🤠🤠🤠...Babu pale alichochora vibaya sana🤣🤣🤣....wameenda kuhojiwa wakazi wa pale wamemruka kimanga Babu....Bora amestukia mapema...nilisema jana hyu mzee asijicjanganye tena kutaka mdahalo mwingine...Bora kamestuka maana yule mama ni Prosecutor na mwanasiasa pia ndani yake...angemgalagaza vibaya sana
 
Back
Top Bottom