Trump atangaza kutoshiriki tena midahalo ya urais


Hoja hupingwa kwa hoja siyo siri, mwamba alizidiwa mno.

Kwamba kama samaki, akakaangwa vilivyo kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Ieleweke kwamba kura za wananchi ndizo zinapelekea kupatikana kwa hizo kura za Electoral College.
 
Watu mnapenda sana ku spin habari. Unapoamua kutumia uongo katika kuaminisha watu utakacho unapata faida gani? Wapi aliposema ameshindwa?
Mbona sababu za kwanini hatakubali mdahalo mwingine haujaziweka katika maneno yako?
 
Uzee nao ni tatizo jingine.Lakini Kwa mwenendo wa kura za maoni Trump kwanza ku bridge Ile Gap iliyokuwepo kati yake na Harris.

Kiufupi hakuna mwenye clear chance ya kushinda japo nimeona mtu mmja anasema Trump anaweza penya Kwa ushindi wa swing states.

Wakati huo huo mtabiri Maarufu wa Marais ambae ametabiri Kwa ushahidi mara 9 out of 10 Kwa kutumia kanuni zake amempa Ushindi Harris.

Binafsi napenda Harris ashinde.
 
Donald Trump kamwe hawezi kujiondoa kwenye kugombea. Labda afe au awe kwenye coma.
 
After the debate ended Tuesday night, Republican Rep. Mike Collins of Georgia posted to X, "You want to know who won? Find out who refuses to do a 2nd debate."
 
Watu mnapenda sana ku spin habari. Unapoamua kutumia uongo katika kuaminisha watu utakacho unapata faida gani? Wapi aliposema ameshindwa?
Mbona sababu za kwanini hatakubali mdahalo mwingine haujaziweka katika maneno yako?
Kwani umeisoma hiyo habari yote ?
 
Uelewa wangu mdogo uwa unawamia hapo kwenye chuo Cha Uchaguzi, what is wajumbe hao 538 wakaacha kumteua Rais ambaye Wengi wamefanya wajumbe wamepatikana?
 
Trump ana vitu kama vitatu ambavyo vinamsumbua na kuna muda huwa vinamuangusha kwenye baadhi ya mambo.
1. Ego
2. Arrogance
3. Overconfidence
 
Mkuu ninakuunga mkono 100%
Issue ni wanaume wenyewe ni kina nani na wanawake wenyewe ni kina nani?
Kumbuka USA walishatoka huko kwenye kuchagua kiongozi kwa misingi ya rangi ya ngozi, jinsia au umri, ukiwa na sera za kuwashawishi watakuchagua tu.
 
Waendesha mdahalo ilitakiwa wawe katikati, lakini walikuwa timu Haris hata mtoto mdogo aliyefuatilia madahalo aliona hicho kitu, kwa suala la Ukraine Democratic wanaiangamiza Ukraine, wana,uogopa Putin.Hakuna wanachosaidia
 
Uzi wako umeuandika kishabiki sana,yaani ka vile sisi wengine hatukuufuatilia huo mdahalo,wakati ambapo mdahalo huo uliongewa kwa lugha ya kiingereza lugha ambayo watanzania tunaijua na tunaiongea,mpaka unafikia kiwango cha kusema Trump alihenyeshwa,alihenyeshwa wapi?
Kama wewe ni shabiki wa Camala basi Imekula kwako Marekani bado haipo tayari kutawaliwa na mwanamke,yanaenda kujirudia Yale ya Hilary Clinton,hata baadhi ya wanachama wa Chama Cha Democrat wanaenda kumkataa Camala Haris kwenye sanduku la kura.
 
Trump ana vitu kama vitatu ambavyo vinamsumbua na kuna muda huwa vinamuangusha kwenye baadhi ya mambo.
1. Ego
2. Arrogance
3. Overconfidence
Hata mimi nimeona mkuu.

Nadhani anadhani kwamba wamarekani hawahitaji maneno ya kitaalamu kuwaelezea shida zao,yeye anadhani hivyo.

Lakini kumbe licha ya kwamba raia wanashida ila suala la kupangilia hoja katika mazungumzo ni suala muuhimu sana hata kama shida za watu ziko wazi.
 
Trump alipaswa kufanya huu uamuzi kabla ya mdahalo uliopita, kimtindo amechelewa.
Analeta mambo ya kizushi kwmba kule Springfield Ohio watu wa Haiti sijui wanakula mbwa na paka wa wamarekani🤠🤠🤠...Babu pale alichochora vibaya sana🤣🤣🤣....wameenda kuhojiwa wakazi wa pale wamemruka kimanga Babu....Bora amestukia mapema...nilisema jana hyu mzee asijicjanganye tena kutaka mdahalo mwingine...Bora kamestuka maana yule mama ni Prosecutor na mwanasiasa pia ndani yake...angemgalagaza vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…