Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Sio kweli. Biden hakuwa mkurupukaji kivile. Huyu mwamba ataishangaza sana dunia. Kaanza na wahamiaji eti ni wahamiaji haramu, kafuta ufadhili na misaada yake yote nchi mbalimbali, kaongeza tozo kwa majirani zake Mexico na Canada, kesha gombana na swahiba wake Zelensky, kesha anzisha mchakato wa kujitoa umoja wa NATO n.k. na sasa anavikoromea vikundi vya kigaidi e.g. ameanza na Hamas bado Hezbollah n.k.....Dah! jamaa kaja mbio kweli.
Anatoa matamko kama ya wapigana meleka kutoka ikulu ya Marekani.Neno kama fanyane kama ninavyosema au nyote mmekwisha.Ni maneno ovyo kabisa.Yaani katika watu ambao hua wanakurupuka kwenye maamuzi ni Trump, hua anajiona kama Mungu vile.
Sasa kwa huyu mwamba ; hakutakuwa tena na Tents wala watu watakaoishi kwenye matents. Every thing will be wiped out.Sasa ataifanya nini HAMAS kile ambacho Israel haikukifanya ktk miezi yote 15?.
Ndani ya miezi 15, Israel imebomoa zaidi ya 80% ya Gaza. Wakimalizia 20% haitakuwa na kipya cha ajabu. Watu wataishi ktk Tents
Sasa kwa huyu mwamba ; hakutakuwa tena na Tents wala watu watakaoishi kwenye matents. Every thing will be wiped out.
Yap! Hilo ni neno la msingi sana. Na hapo ndipo mshangao kwa Wahangaaji utakuwapo.Subiri tu utaona.Wamesahau sana kuwa kuna Mungu,
Sisi waisilamu tumeshatoa?Subiri wakirisitu wanakuja kutoa muongozo
Suala la imani kila mtu ana yakeSubiri tu utaona.Wamesahau sana kuwa kuna Mungu,
Hayo magaidi ya hamas ni ya kupiga kila kona, na kama wapalestina wanawa support hao magaidi wao nao wapigwe sana tu, dunia lazima iwe na utaratibu na ustaarabu.Kipi ni safi sana
Nanukuu: "Gazans hawaamini ktk kupoteza kabisa".Watu wa Gaza hawakitafuti kifo lakini hawakiogopi, wanaamini wakiuawa wanakufa Shahidi, wanaenda peponi.
Hiyo imani pekee ni kikwazo cha maadui zao, maana Gazans hawaamini ktk kupoteza kabisa.
Kucha-kuchereee. Kidume katema cheche. Hataki utani.Ohooo kumekucha hukooo
Halafu iyo ndio itamfanya yeye haishi milele! Awaue wote kama atawezaSasa kwa huyu mwamba ; hakutakuwa tena na Tents wala watu watakaoishi kwenye matents. Every thing will be wiped out.
Kwa Utamuuuu au...Amechanganyikiwa
Ataweza wapi! Hata zamani Hitler hakuweza kuwaua Wayahudi wote na hakuishi milele. Huyu jamaa cjui anakoelekea ni wapi.Halafu iyo ndio itamfanya yeye haishi milele! Awaue wote kama ataweza
Ulaya wamemjua na wamemchoka.Imebaki waarabu tuKwa Utamuuuu au...
Mwamba yupo serious ujue. Hapepesi macho amapania kwel'kweli. Huyu jamaa anaonekana kama dish limeyumba kidogo lakini mataifa wasipokuwa na tahadhari nae, atajeruhi wengi sana.