Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Sio kweli. Biden hakuwa mkurupukaji kivile. Huyu mwamba ataishangaza sana dunia. Kaanza na wahamiaji eti ni wahamiaji haramu, kafuta ufadhili na misaada yake yote nchi mbalimbali, kaongeza tozo kwa majirani zake Mexico na Canada, kesha gombana na swahiba wake Zelensky, kesha anzisha mchakato wa kujitoa umoja wa NATO n.k. na sasa anavikoromea vikundi vya kigaidi e.g. ameanza na Hamas bado Hezbollah n.k.....Dah! jamaa kaja mbio kweli.
Sasa ataifanya nini HAMAS kile ambacho Israel haikukifanya ktk miezi yote 15?.
Ndani ya miezi 15, Israel imebomoa zaidi ya 80% ya Gaza. Wakimalizia 20% haitakuwa na kipya cha ajabu. Watu wataishi ktk Tents