Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

Sio kweli. Biden hakuwa mkurupukaji kivile. Huyu mwamba ataishangaza sana dunia. Kaanza na wahamiaji eti ni wahamiaji haramu, kafuta ufadhili na misaada yake yote nchi mbalimbali, kaongeza tozo kwa majirani zake Mexico na Canada, kesha gombana na swahiba wake Zelensky, kesha anzisha mchakato wa kujitoa umoja wa NATO n.k. na sasa anavikoromea vikundi vya kigaidi e.g. ameanza na Hamas bado Hezbollah n.k.....Dah! jamaa kaja mbio kweli.

Sasa ataifanya nini HAMAS kile ambacho Israel haikukifanya ktk miezi yote 15?.

Ndani ya miezi 15, Israel imebomoa zaidi ya 80% ya Gaza. Wakimalizia 20% haitakuwa na kipya cha ajabu. Watu wataishi ktk Tents
 
Yaani katika watu ambao hua wanakurupuka kwenye maamuzi ni Trump, hua anajiona kama Mungu vile.
Anatoa matamko kama ya wapigana meleka kutoka ikulu ya Marekani.Neno kama fanyane kama ninavyosema au nyote mmekwisha.Ni maneno ovyo kabisa.
Watu mliwafukuza majumbani mwao mwaka 1948 na sasa mumewavunjia majumba yao yote.Badala kusikiliza kilio chao unaendelea kukamia kuwadhulumu tena hadharani
 
Sasa ataifanya nini HAMAS kile ambacho Israel haikukifanya ktk miezi yote 15?.

Ndani ya miezi 15, Israel imebomoa zaidi ya 80% ya Gaza. Wakimalizia 20% haitakuwa na kipya cha ajabu. Watu wataishi ktk Tents
Sasa kwa huyu mwamba ; hakutakuwa tena na Tents wala watu watakaoishi kwenye matents. Every thing will be wiped out.
 
Sasa kwa huyu mwamba ; hakutakuwa tena na Tents wala watu watakaoishi kwenye matents. Every thing will be wiped out.

Watu wa Gaza hawakitafuti kifo lakini hawakiogopi, wanaamini wakiuawa wanakufa Shahidi, wanaenda peponi.
Hiyo imani pekee ni kikwazo cha maadui zao, maana Gazans hawaamini ktk kupoteza kabisa.
 
Watu wa Gaza hawakitafuti kifo lakini hawakiogopi, wanaamini wakiuawa wanakufa Shahidi, wanaenda peponi.
Hiyo imani pekee ni kikwazo cha maadui zao, maana Gazans hawaamini ktk kupoteza kabisa.
Nanukuu: "Gazans hawaamini ktk kupoteza kabisa".
Mbona walishapoteza yote - watu na vitu. Kwa sasa Hawana kilichobaki cha kupoteza. Kilichosalia cha kupoteza ni wao wenyewe.
 
Amechanganyikiwa
Kwa Utamuuuu au...
Mwamba yupo serious ujue. Hapepesi macho amapania kwel'kweli. Huyu jamaa anaonekana kama dish limeyumba kidogo lakini mataifa wasipokuwa na tahadhari nae, atajeruhi wengi sana.
 
Halafu iyo ndio itamfanya yeye haishi milele! Awaue wote kama ataweza
Ataweza wapi! Hata zamani Hitler hakuweza kuwaua Wayahudi wote na hakuishi milele. Huyu jamaa cjui anakoelekea ni wapi.
 
Waarabu wawape Silaha Hamas

Wazungu/walatini wawape Silaha Israel

Wakina mama, watoto & wote ambao hawawezi himili mikiki mikiki watangaziwe safe corridor

Papigwe mbungi la maaana mpaka watu waheshimiane
 
Blaah blaah daily huyo mbwekaji tu.mbwa koko.
Ashushe vitu wamuelewe
 
Kwa Utamuuuu au...
Mwamba yupo serious ujue. Hapepesi macho amapania kwel'kweli. Huyu jamaa anaonekana kama dish limeyumba kidogo lakini mataifa wasipokuwa na tahadhari nae, atajeruhi wengi sana.
Ulaya wamemjua na wamemchoka.Imebaki waarabu tu
 
Ataweza wapi! Hata zamani Hitler hakuweza kuwaua Wayahudi wote na hakuishi milele. Huyu jamaa cjui anakoelekea ni wapi.
Kichwa kitupu sana.Yaani uchumi wake umeyumba halafu anaendeleza ubabe.Si kawaida
 
Back
Top Bottom