Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

Hakuna atakae tokea duniani kuwahamisha watu wa Palestine na hiyo serikar ya marekani m wahuni km walivyo wazayuni wanaojiita watu fake wa Mungu.Apeleke misaada hata ya mabomu ya nuclear km anaweza awaue kama ilvyo ada yao ila never never hawatokuja kuhama maeneo yao kwa ubabe wao na mwisho kama ilvyo kua ordained wa zayuni wataangamizwa
 
Ninadhani marekani chini ya Trump inaenda kupoteza nafasi yake kama super power. Maana maamuzi anayoyafanya sio TU yataathir nchi nyingine Bali athari hasi zitawahusu wao vilevile.
 
Israel imekuwa ikipewa misaada ya silaha na Marekani kwa makumi ya miaka ila vita vya Israel na Palestina havijawahi kuisha labda avidanganye vitoto vilivyozaliwa elf 2
 
Kelele zote hizo anajua baada ya kuwaingiza Iran na hisbullah katika makubaliano yao ya kiujanjaujanja wasipigane hawataweza tena kuingilia huyo Vita ya Israel na hamasi kumbe sivyo hivyo vidume vipo pembeni wanamuangalia tu ayazue wampelekee moto
 
Hapana mkuu. Badala ya kusubiri tu kuona jehanam ya Wapalestina, bado Tunaweza kufanya kazi walau ya kupiga kelele za kukemea au kuwaombea Wapalestina waepushwe na janga hilo.
Upo Sahihi
 
There is a time to use force and there is time to use intelligence..., when it comes to ideological matters the latter suffice..., Sadly hawa watu hawapo kumaliza vita bali biashara za weaponry
 
Hivyo hivyo swali la kujiuliza jee kwa kendeleza ajenda ya vita Israel itabaki salama na yenye uchumi na maisha ya utulivu au itakuwa ni vurugu tu kama la Sudan.
 
Dunia mbna inapelekwa kasi IV
Ndio inaelekea mwisho hivyo.
Ni vurugu tu sasa.Hatuelewi nani anasimamia demokrasia, amani au utawala bora.Kila mtu ni shetani tu
 
Wakati huku US na allies wake wa NATO wanatofautiana mambo kadhaa, waarabu wanaonekana wanataka kuungana na kuna shinikizo kubwa kwenye nchi zao za kuwa support Palestinians.
I can’t imagine mwisho utakuwaje hqpo middle east, mawe yataongea.
 
Wakati huku US na allies wake wa NATO wanatofautiana mambo kadhaa, waarabu wanaonekana wanataka kuungana na kuna shinikizo kubwa kwenye nchi zao za kuwa support Palestinians.
I can’t imagine mwisho utakuwaje hqpo middle east, mawe yataongea.
Hapana. Linapokuja swala la myahudi, mataifa ya ulaya na USA huwa hawapepesi macho. Viongozi wa warabu wameungana kinafki ati kuijenga Gaza. Wakati inabomolewa mbona walikaa kimya? Nakuhakikishi kwamba kama Israeli akiamua tena kuanza shambua Gaza hutawaona hao waarabu wakifanya chochote. Watu wanalinda maslahi yao.
 
Trump must be Crazy 🤣🤣,kila siku drama.Chizi Huwa hatulii always pakutulia anakurupuka pakukurupuka anakurupuka tu.
 
Watu wa Gaza hawakitafuti kifo lakini hawakiogopi, wanaamini wakiuawa wanakufa Shahidi, wanaenda peponi.
Hiyo imani pekee ni kikwazo cha maadui zao, maana Gazans hawaamini ktk kupoteza kabisa.
kama watu wagaza hawaogopi kifo mbona wakishambuliwa wanalia vile huku na nyie mkiwasaidia kulia ndugu zetu waislamu wagaza wanauawa hawana chakula waarabu mko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…