Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Amani Amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa mfano wakoSamahani sheikh! WAKIRISITU ndo akina nani?
Ninadhani marekani chini ya Trump inaenda kupoteza nafasi yake kama super power. Maana maamuzi anayoyafanya sio TU yataathir nchi nyingine Bali athari hasi zitawahusu wao vilevile.Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo.
Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera yake ya awali ya kutozungumza na makundi iliyoainisha kama ya kigaidi.
Trump ameonya kuwa kutakuwa na madhara makubwa ikiwa mateka hawataachiliwa mara moja, huku akiwataka viongozi wa Hamas kuondoka Gaza. Pia ameonya raia wa kawaida kuwa mustakabali wao unategemea kuachiliwa kwa mateka.
View attachment 3260793
Hii si mara ya kwanza kwa Trump kutoa vitisho dhidi ya Hamas, kwani alitoa matamshi kama hayo Desemba mwaka jana. Ujumbe wake wa hivi karibuni umetolewa baada ya kukutana na mateka waliokuwa wameachiliwa chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano.
==============================================================
US President Donald Trump issued what he said was a “last warning” to Hamas to release all of the hostages in Gaza immediately – in a move that came just hours after the White House confirmed it was negotiating directly with the militant group.
“Release all of the hostages now, not later, and immediately return all of the dead bodies of the people you murdered, or it is OVER for you,” Trump posted on Truth Social on Wednesday, soon after meeting eight freed hostages at the White House.
Trump wrote that he would send Israel “everything it needs to finish the job,” and warned that “Not a single Hamas member will be safe if you don’t do as I say.”
The comments came just hours after the US confirmed reports that it was negotiating directly with Hamas about hostages and the Gaza ceasefire, in a move that goes against its tradition of not talking to groups it considers terrorist organizations. Axios first reported the talks.
It also comes as international aid and rights groups demand Israel ensure unhindered humanitarian access to Gaza, after the country stopped all aid into the enclave to pressure Hamas into accepting new terms for an extension of the ceasefire agreement.
The United States, which designated Hamas as a Foreign Terrorist Organization in 1997, traditionally does not speak with terrorist organizations, though there have been exceptions – both the Obama and Trump administrations negotiated with the Taliban, which was designated a terrorist organization in the wake of 9/11.
Source: CNN
Upo SahihiHapana mkuu. Badala ya kusubiri tu kuona jehanam ya Wapalestina, bado Tunaweza kufanya kazi walau ya kupiga kelele za kukemea au kuwaombea Wapalestina waepushwe na janga hilo.
Hivyo hivyo swali la kujiuliza jee kwa kendeleza ajenda ya vita Israel itabaki salama na yenye uchumi na maisha ya utulivu au itakuwa ni vurugu tu kama la Sudan.1. Bado hawajawahi au kuonja kufanyiwa yale mauaji ya kumalizwa(Kujimaliza) kama ile sadaka ya Mwamposa ya kujimaliza.
2. Ni ukweli 100% usiopingika kwamba wote hao akina Hamas, Trump na Netanyahu watapita na wataiacha Palestina.
Swali la kujihoji hapo ni kwamba Je; baada ya hao wote kupita, Palestina itabaki ikiwa katika hali gani? e.g. Jangwa, magofu, hofu kuu nchi isiyo kalika tena au bonde la umauti; au Palestina itabaki nchi yenye utulivu na amani; nchi ya asali na maziwa?
Kama utani ila anamaanishaNa amepania haswa.
Hapana. Linapokuja swala la myahudi, mataifa ya ulaya na USA huwa hawapepesi macho. Viongozi wa warabu wameungana kinafki ati kuijenga Gaza. Wakati inabomolewa mbona walikaa kimya? Nakuhakikishi kwamba kama Israeli akiamua tena kuanza shambua Gaza hutawaona hao waarabu wakifanya chochote. Watu wanalinda maslahi yao.Wakati huku US na allies wake wa NATO wanatofautiana mambo kadhaa, waarabu wanaonekana wanataka kuungana na kuna shinikizo kubwa kwenye nchi zao za kuwa support Palestinians.
I can’t imagine mwisho utakuwaje hqpo middle east, mawe yataongea.
Wayahudi hawamtambui yesu lakiniSasa ndo itajulikana ni yupi Kafiri na ni nani Muumin.
hayo matent nayo yatalipuliwaSasa ataifanya nini HAMAS kile ambacho Israel haikukifanya ktk miezi yote 15?.
Ndani ya miezi 15, Israel imebomoa zaidi ya 80% ya Gaza. Wakimalizia 20% haitakuwa na kipya cha ajabu. Watu wataishi ktk Tents
kama watu wagaza hawaogopi kifo mbona wakishambuliwa wanalia vile huku na nyie mkiwasaidia kulia ndugu zetu waislamu wagaza wanauawa hawana chakula waarabu mko wapi?Watu wa Gaza hawakitafuti kifo lakini hawakiogopi, wanaamini wakiuawa wanakufa Shahidi, wanaenda peponi.
Hiyo imani pekee ni kikwazo cha maadui zao, maana Gazans hawaamini ktk kupoteza kabisa.