Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Hata sura yake inajieleza wazi. Kobaz wameyatimba.Yaani katika watu ambao hua wanakurupuka kwenye maamuzi ni Trump, hua anajiona kama Mungu vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sura yake inajieleza wazi. Kobaz wameyatimba.Yaani katika watu ambao hua wanakurupuka kwenye maamuzi ni Trump, hua anajiona kama Mungu vile.
na iran haina kitu sasaivi, hamas msaada watapata wapi? hezbollah haipo, syria haipo. iran wanahaha maisha yameshaanza kuwa magumu hadi makamu wa rais kajiuzulu na rais anatamani kujiuzulu kwa sababu ayatola amegoma kuongea na marekani kuomba pooo na bila hivyo wanasema maisha yanakuwa magumu na pesa hakuna. walimchezea sana biden aliyeondoa vikwazo ndio maana walipata pesa nyingi za kuwapa hamas, hezbollah na huthi, na sasaivi wahuthi hawapumui, muda wowote lolote linaweza kutokea.Kwa maneno aliyoyaandika raisi wa Marekani Donald Trump kwenye mtandao wake wa kijamii ni rasmi kwamba Hamas inapigana na madola mawili makubwa duniani bila silaha na wakiwa wamezingirwa.
Raisi huyo wa Marekani amesema Hamas iwaachie mateka wote ilionao pamoja na maiti za mateka anaodai iliwaua.Iwatoe leo na wala si kesho.
Kutokufanya hivyo Hivyo Hamas ni kwamba wajihesabu wao ndio basi tena na dunia.Sambamba na onyo hilo kwa Hamas Trump akaongeza kwa kusema tayari ameshawapa Israel kila wanachotaka ili wamalize kazi.
Trump issues 'last warning' to Hamas as US confirms direct hostage talks
Ngoja tuone mzikiYa Zeleski yana nafuu. Hamas atamezwa chap' kama kidonge cha piriton.
Sio kweli. Biden hakuwa mkurupukaji kivile. Huyu mwamba ataishangaza sana dunia. Kaanza na wahamiaji eti ni wahamiaji haramu, kafuta ufadhili na misaada yake yote nchi mbalimbali, kaongeza tozo kwa majirani zake Mexico na Canada, kesha gombana na swahiba wake Zelensky, kesha anzisha mchakato wa kujitoa umoja wa NATO n.k. na sasa anavikoromea vikundi vya kigaidi e.g. ameanza na Hamas bado Hezbollah n.k.....Dah! jamaa kaja mbio kweli.Hana cha ziada anachoweza kukifanya kuzidi alichokwishafanya Biden.
Zita wagusa na kuwadhuru wengiHeka heka za Trump
Kwa uwongo na uzushi hamjamboSiku anachaguliwa Aljazra TV walishangiria Saana !!! Walimuona mkombozi ila kwasasa sjui Kama wanahamnae Tena!!!
Anachuna uso baada ya habari za kuongea na Hamas kisirisiri kueneaRais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo.
Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera yake ya awali ya kutozungumza na makundi iliyoainisha kama ya kigaidi.
Trump ameonya kuwa kutakuwa na madhara makubwa ikiwa mateka hawataachiliwa mara moja, huku akiwataka viongozi wa Hamas kuondoka Gaza. Pia ameonya raia wa kawaida kuwa mustakabali wao unategemea kuachiliwa kwa mateka.
View attachment 3260793
Hii si mara ya kwanza kwa Trump kutoa vitisho dhidi ya Hamas, kwani alitoa matamshi kama hayo Desemba mwaka jana. Ujumbe wake wa hivi karibuni umetolewa baada ya kukutana na mateka waliokuwa wameachiliwa chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano.
Sasa ndo itajulikana ni yupi Kafiri na ni nani Muumin.Kafiri huyo mjaa laaana
Last warning na mchezo uishe - demshit!Kipi ni safi sana
Na amepania haswa.Trump anasafisha kila mahali
Wacha we! Ewoooomi! ya kweli hiyo? ni majan au unga?Sifa ya Rais huko White House lazima uwe mtumia majani
Ila magaidi wapumbavu sana. Wanakaa na maiti za watu kweli..ni mtu mwenye shida ya akili tu anaekaa na maiti aliyoiua.Wacha we! Ewoooomi! ya kweli hiyo? ni majan au unga?
Kama walivyoshindwa kwa zaidi ya mwaka palipobaki ni kushindwa kwao moja kwa moja kwani watu wa Gaza kufa kunatisha lakini si jambo geni tena kwao katika kulinda heshima na dini yao.Ila magaidi wapumbavu sana. Wanakaa na maiti za watu kweli..ni mtu mwenye shida ya akili tu anaekaa na maiti aliyoiua.
Na najua kiburi chao watadharau na ndio hapo naona vifo vya watu 60 elfu kuongezeka mara mbili..yatabaki magofu tu