GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Kama mdudu ali a.k.a kitimoto aka mwenyekit a.k.a hot chair a.k.a mbuzi katoliki a.k.a nguruweWatu wa mfano wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mdudu ali a.k.a kitimoto aka mwenyekit a.k.a hot chair a.k.a mbuzi katoliki a.k.a nguruweWatu wa mfano wako
Mwe; Mwe; Mweeeee! Punguza makasiriko - Huu ni mwezi mtukufu Shekhe.Hakuna atakae tokea duniani kuwahamisha watu wa Palestine na hiyo serikar ya marekani m wahuni km walivyo wazayuni wanaojiita watu fake wa Mungu.Apeleke misaada hata ya mabomu ya nuclear km anaweza awaue kama ilvyo ada yao ila never never hawatokuja kuhama maeneo yao kwa ubabe wao na mwisho kama ilvyo kua ordained wa zayuni wataangamizwa
Akina nani hao tena? Wenyewe watakuwa wamewekwa "mtu kati" na kitakachokuwa kinaendelea ni kudonolewa kama kuku anavyookota punje za mahindi. Watajibuje mapigo hapo?Na wao watajibu mapigo
Siasa,ukiwa super power unakua na superiority complexDah! Huyo jamaa ni pasua kichwa aisee. Kama ni kweli alishaongea na Hamas kisirisiri; Je, hayo anayoyatamka sasa hadharani ndo yale-yale aliyoongea sirini? Hakuna anayejua kwa uhakika.
Kwel mkuu, sie tunawaza hali ya hewa si rafk chakula nchini kidogo 7bu ya jua, wao wanawaza vita.Ndio inaelekea mwisho hivyo.
Ni vurugu tu sasa.Hatuelewi nani anasimamia demokrasia, amani au utawala bora.Kila mtu ni shetani tu
Kitu kinachotokea Gaza bado kipo kila pembe ya nchi dhalimu ya Israel.Kelele zote hizo anajua baada ya kuwaingiza Iran na hisbullah katika makubaliano yao ya kiujanjaujanja wasipigane hawataweza tena kuingilia huyo Vita ya Israel na hamasi kumbe sivyo hivyo vidume vipo pembeni wanamuangalia tu ayazue wampelekee moto