Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

Hakuna atakae tokea duniani kuwahamisha watu wa Palestine na hiyo serikar ya marekani m wahuni km walivyo wazayuni wanaojiita watu fake wa Mungu.Apeleke misaada hata ya mabomu ya nuclear km anaweza awaue kama ilvyo ada yao ila never never hawatokuja kuhama maeneo yao kwa ubabe wao na mwisho kama ilvyo kua ordained wa zayuni wataangamizwa
Mwe; Mwe; Mweeeee! Punguza makasiriko - Huu ni mwezi mtukufu Shekhe.
Kwani hapo walipo hao Waisraeli leo (nchi ya Israel)ndo walipokuwapo tangu mwanzo? Hilo pia laweza kuwapata Wapalestina japokuwa hatuliombei kwani sio jema.
 
El Gringo anadisplat meno ya chuma.....

Mimi imebidi tu nikae upande wake.
 
Na wao watajibu mapigo
Akina nani hao tena? Wenyewe watakuwa wamewekwa "mtu kati" na kitakachokuwa kinaendelea ni kudonolewa kama kuku anavyookota punje za mahindi. Watajibuje mapigo hapo?
 
Dah! Huyo jamaa ni pasua kichwa aisee. Kama ni kweli alishaongea na Hamas kisirisiri; Je, hayo anayoyatamka sasa hadharani ndo yale-yale aliyoongea sirini? Hakuna anayejua kwa uhakika.
Siasa,ukiwa super power unakua na superiority complex
 
WAZUNGU miaka ya nyuma ndio Walikiwa na nguvu lkn Kwasasa apo Palestina Awapawezi !!!

Tena Tatizo kuuu ni Maalifa Ufundi ya Wapinzani Wao Wananyenzo Tofaut na uko nyuma!!!

Namaanisha IRAN YEMEN IRAQ na Silaha nyengine kubwa ni Ujasilri wa HAMAS huu mzozo sio kweli kuwa eti Tramp anaweza Wafukuza wa Palestina !!!!!

mjue Kuna DAMU nyingi za Waisral zinaenda potea kama ilivo kwa Wapalestina !!!!

Kama sasa IRAN inawazoom tu kila kitu Wanawafatilia ili Wajue wanawakwamisha vipi mpango wa Netanyahu & Tramp!!!

lkn pia HAMAS wanajua Wanacho Fanya leo lazima Watakuwa na mpango B ikiwa Adui yao Atakiuka Mkataba wa Aman!!!!

Kama ww Unajua Baada kuachiwa mateka nini Kitakuja Vip wao waliovitani Wasijue kitu icho !!!!
.
Niwazi IDF Waoga Nidhaifu ndio Mana Wanataka kutumia Anga lkn Watakwama Vipi ngoja ije Iyo Promiss no 3 Mtaelewa nyinyi alama Yenu kujua kuwa ISRAEL imeumizwa Vibaya Mtamuona Tramp Atakavotoa povu !!!

na Atoweza kuigusa IRAN !!!!

Uzaifu wa Israel umejidhiilisha baada 7octb Vijana wa Kipalestina walipovuka Mpaka na kwenda kuvamia Kambi za Jeshi 4 ichi kitu kimewaaibisha Sana na ndio kila mtu wenye kufatilia aondoi ili kutokea Tena !!!!!

HAMAS sio waoga wa kufa. Lkn upande mwengine Iran na Promiss no3 inaweza kubadili Esabu ya ISRAEL. Hii mbungi sio ya kinyonge DAMU itamwagika.
 
Ndio inaelekea mwisho hivyo.
Ni vurugu tu sasa.Hatuelewi nani anasimamia demokrasia, amani au utawala bora.Kila mtu ni shetani tu
Kwel mkuu, sie tunawaza hali ya hewa si rafk chakula nchini kidogo 7bu ya jua, wao wanawaza vita.
 
Kelele zote hizo anajua baada ya kuwaingiza Iran na hisbullah katika makubaliano yao ya kiujanjaujanja wasipigane hawataweza tena kuingilia huyo Vita ya Israel na hamasi kumbe sivyo hivyo vidume vipo pembeni wanamuangalia tu ayazue wampelekee moto
Kitu kinachotokea Gaza bado kipo kila pembe ya nchi dhalimu ya Israel.
Walijitahidi kuwagombanisha mashia kwa masuni au koo na Hamas na haikusaidia kitu.Wote wanapigana na kufanya mawasiliano ya pamoja wakikubali kuongozwa na Hamas japo kila kundi lina silaha zake.
Mashia na masuni wa Lebanon pamoja na wakristo wote wanamuona Israel kama adui yao ndio maana Hizbullah haiwezi kufutwa kwa njama za Israel.
Mpaka siku makubaliano yaliposainiwa bado Hizbullah walikuwa wanarusha makombora mazito mpaka TelAviv.Muda huu wao na Houth akianza tu Israel kuwaonea watu wa Gaza vitu vizito na vyenye ufanisi walivyokwishakuvitayarisha wataanza kuvirusha tena.
 
Back
Top Bottom