Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
- Thread starter
-
- #81
Kama kuna sehemu yoyote nimeandika uongo, you have every right to speak, but if that's not the case, case closed.Interesting.
Lakini unachukuaje muda mrefu hivyo kuandika huku huna muda wa kuweka source ya habari yako?
Una akili gani wewe mpaka uwe na uwezo wa kumpuuza mtu?Huwa nampuuzaga ila kwa "kujilengesha" yuko vizuri.
Weka source wewe acha ngonjera,nimekwambia JF sio lile grp lenu la WhatsApp la kina mama,weka japo source ya hilo tamko la Houthi.Kama kuna sehemu yoyote nimeandika uongo, you have every right to speak, but if that's not the case, case closed.
Hana source yeyote,anafikiri JF wote tuna akili kama zake.Interesting.
Lakini unachukuaje muda mrefu hivyo kuandika huku huna muda wa kuweka source ya habari yako?
Unaona sasa jinsi usivyokua na akili? Bila kuweka source mtu atajuaje kama umeandika uongo au ukweli? Source ndio itaamua,mbona unakua mjinga kiasi hicho?Kama kuna sehemu yoyote nimeandika uongo, you have every right to speak, but if that's not the case, case closed.
Umezowea kukalia dudu mpaka ukaamua kujiita dudu,ni hasara kwa taifa.Jinga haswa!
As a matter of fact you are too ignorantKukaa kimya kunaficha aibu, jaribu kukaa kimya ufiche your ignorance.
MKuu..kwa nini huwa unapenda kutumia Lugha za Matusi kwenye mijadala mbalimbali?? Haipendezi hata kidogo,namna unavyo jibizana na wenzako.Umejipuuza mwenyewe kwa kujishtukia kwa kutingisha makalio yako hapa kwa hoja za kijinga na ushabiki wa hovyo,jadili vitu kwa akili na sio kufuata upepo tu,toka huko Kijijini uone Dunia inavyokwenda kuliko kila siku kukariri upumbavu ule ule tu.
Mkuu kwahiyo huyo niliyemjibu hivyo,yeye hukuona matusi yake dhidi yangu? Au ndio double standard?MKuu..kwa nini huwa unapenda kutumia Lugha za Matusi kwenye mijadala mbalimbali?? Haipendezi hata kidogo,namna unavyo jibizana na wenzako.
Unataka dudu? Endelea ku-expose ujinga wako humu; mna mbinu elfu za kujitangaza.Umezowea kukalia dudu mpaka ukaamua kujiita dudu,ni hasara kwa taifa.
Na wewe unajiita mtu? Really?Una akili gani wewe mpaka uwe na uwezo wa kumpuuza mtu?
Kila siku hua mnakata viuno humu na kusema US inaongozwa na mfumo,leo hii mnarudi hapa na ngonjera zingine! Leta source ya hilo tamko la Houthi,
Mtu anaanzisha uzi bila reliable source ya hayo matamko,halafu punguani kama wewe unakurupuka tu!
Jamaa lina chuki Shetani arudi shule! Just ignore that Satan.Nadhani ana stress za maisha, huwez ukawa una furaha na amani maishani alaf ukawa insecure, umejawa matusi na chuki kama jamaa, he is not normal.
Mambo mengine yote umeandika vizuri sana mkuu.Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
Umezowea kupigwa dudu likakunogea mpaka ukaamua kujiita dudu,halafu hua hamjifichi nyie,mnaonekana tu.Unataka dudu? Endelea ku-expose ujinga wako humu; mna mbinu elfu za kujitangaza.
Wewe na mleta mada mmeishia kufarijiana tu kwa ujinga baada ya kushindwa kuleta reliable source ya hayo matamko,mmeishia kujichekesha chekesha tu kwenye vicomment vyenu.Na wewe unajiita mtu? Really?
Hiyo ya kwamba land aliyoikamata atabaki nayo sahaukwani china si juzi kati tu hapo jinping alikutana na biden? putin habari zinasema team ya trump inamueleza ukraine akubali dili miaka 20 hakuna kufikiria nato inatengenezwa buffer zone, putin land aliyogain anabaki nayo, kuhusu negotiations mara kadhaa putin kashasema west wanamtumia uturuki kuna na proposal lakini hawako serious. muda wa kusubiri utekelezaji tu