Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Interesting.

Lakini unachukuaje muda mrefu hivyo kuandika huku huna muda wa kuweka source ya habari yako?
Kama kuna sehemu yoyote nimeandika uongo, you have every right to speak, but if that's not the case, case closed.
 
Huwa nampuuzaga ila kwa "kujilengesha" yuko vizuri.
Una akili gani wewe mpaka uwe na uwezo wa kumpuuza mtu?

Kila siku hua mnakata viuno humu na kusema US inaongozwa na mfumo,leo hii mnarudi hapa na ngonjera zingine! Leta source ya hilo tamko la Houthi,

Mtu anaanzisha uzi bila reliable source ya hayo matamko,halafu punguani kama wewe unakurupuka tu!
 
Kukaa kimya kunaficha aibu, jaribu kukaa kimya ufiche your ignorance.
As a matter of fact you are too ignorant

Trump came up with the Make America Great Again slogan and got elected. Failed to make America great again during his 4 year term

He also came up with decoupling and derisking against China during his presidency but both failed miserably

Do you think president Xi Jinping or Putin will be intimidated by Trump?
 
Umejipuuza mwenyewe kwa kujishtukia kwa kutingisha makalio yako hapa kwa hoja za kijinga na ushabiki wa hovyo,jadili vitu kwa akili na sio kufuata upepo tu,toka huko Kijijini uone Dunia inavyokwenda kuliko kila siku kukariri upumbavu ule ule tu.
MKuu..kwa nini huwa unapenda kutumia Lugha za Matusi kwenye mijadala mbalimbali?? Haipendezi hata kidogo,namna unavyo jibizana na wenzako.
 
MKuu..kwa nini huwa unapenda kutumia Lugha za Matusi kwenye mijadala mbalimbali?? Haipendezi hata kidogo,namna unavyo jibizana na wenzako.
Mkuu kwahiyo huyo niliyemjibu hivyo,yeye hukuona matusi yake dhidi yangu? Au ndio double standard?
 
Una akili gani wewe mpaka uwe na uwezo wa kumpuuza mtu?

Kila siku hua mnakata viuno humu na kusema US inaongozwa na mfumo,leo hii mnarudi hapa na ngonjera zingine! Leta source ya hilo tamko la Houthi,

Mtu anaanzisha uzi bila reliable source ya hayo matamko,halafu punguani kama wewe unakurupuka tu!
Na wewe unajiita mtu? Really?
 
Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
Mambo mengine yote umeandika vizuri sana mkuu.

Ila line ya mwisho hapa, hapana Tanzania haihitaji mtu kama huyu kwa sasa maana ikipata mtu wa style hii mwenye kutaka maslahi ya nchi zaidi, uhai wake unaweza kuwa mashakani. Na pia waTanzania wengi bado hawajui wanahitaji mtu wa aina gani.

Sisi tuendelee kuteseka hivi kwanza hadi akili ikae sawa.
 
kwani china si juzi kati tu hapo jinping alikutana na biden? putin habari zinasema team ya trump inamueleza ukraine akubali dili miaka 20 hakuna kufikiria nato inatengenezwa buffer zone, putin land aliyogain anabaki nayo, kuhusu negotiations mara kadhaa putin kashasema west wanamtumia uturuki kuna na proposal lakini hawako serious. muda wa kusubiri utekelezaji tu
Hiyo ya kwamba land aliyoikamata atabaki nayo sahau
 
Back
Top Bottom