Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

No nataka kujua tu, mtu akitoka kwnye hoja akaanza kuattack mtoa hoja mara nyingi source ni low glucose ndani ya brain na sio ugonjwa ni kupata juice na chungwa tu!
Basi nifadhili hata hiyo juice 😀 😀
 
Mkuu, unataka kunigeuza Ali Kibao? 😀 😀
Hatuaminiani tena kwa sababu ya brics? Wabongo ndugu sisi bana tunatofautiana hoja tu na maisha yanaendelea tukikwama tunakwamuana na kina Putin na interest zao hazitufanyi tukachukiana, tunabadilisha mitazamo na tunaendelea na maisha yetu wala hawatusaidii sana hadi tugombane kaka
 
Pamoja sana bwana mdogo. Sema uko canada, US au Australia tuwasialiane,.
 
Tatizo umelishwa sana propaganda za chuki kuhusu Trump na liberal medias na zimekukaa haswa.

Haya hizo hizo liberal media outlets zilisema hata zile assassination attempts alizofanyiwa kipindi cha kampeni zilikuwa staged, bila shaka hata hii nayo umeiamini etii kwamba Trump kunusurika kifo yalikuwa ni maigizo?
 
BRICS - Brazil, Russia, India, China, South Africa
While BRICS is a group of 10 nations with diverse political and economic systems, China is widely considered to be the dominant force within the organization.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…