Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

No nataka kujua tu, mtu akitoka kwnye hoja akaanza kuattack mtoa hoja mara nyingi source ni low glucose ndani ya brain na sio ugonjwa ni kupata juice na chungwa tu!
Basi nifadhili hata hiyo juice 😀 😀
 
Mkuu, unataka kunigeuza Ali Kibao? 😀 😀
Hatuaminiani tena kwa sababu ya brics? Wabongo ndugu sisi bana tunatofautiana hoja tu na maisha yanaendelea tukikwama tunakwamuana na kina Putin na interest zao hazitufanyi tukachukiana, tunabadilisha mitazamo na tunaendelea na maisha yetu wala hawatusaidii sana hadi tugombane kaka
 
Pamoja sana bwana mdogo. Sema uko canada, US au Australia tuwasialiane,.
 
Mkuu unamjua Trump ? Trump alishinda uchaguzi mara ya kwanza sio kwamba watu wanaona ni clean bali ni kwamba walichoka na status quo, pamoja na yeye kumchafua Hilary kwamba ni mwizi mwizi

Hayo yote niliyosema they are well known facts...., kuhusu kudanganya utajiri wake, kipindi kabla ya Urais kuwa na madeni ya kutosha, kutumia jina lake kama Brand hata kwa vitu ambavyo sio vyake.., utapeli kama Trump University, kusafisha pesa kwenye property zake na Russians (money laundry) In short kuwa kwake President has been the biggest business he will ever do, ni kama mtoto unamkabidhi duka la pipi....; Na kuhusu anachosema ni mtu wa kubwawaja na watu wameshamzoea hivyo kuchukua anachosema with a pinch of salt, ndio maana hawashangai tena (sababu washakuwa chronic)
Tatizo umelishwa sana propaganda za chuki kuhusu Trump na liberal medias na zimekukaa haswa.

Haya hizo hizo liberal media outlets zilisema hata zile assassination attempts alizofanyiwa kipindi cha kampeni zilikuwa staged, bila shaka hata hii nayo umeiamini etii kwamba Trump kunusurika kifo yalikuwa ni maigizo?
 
BRICS - Brazil, Russia, India, China, South Africa
While BRICS is a group of 10 nations with diverse political and economic systems, China is widely considered to be the dominant force within the organization.
 
Back
Top Bottom