Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

Trump alimualika Xi kwenye uapisho wake hakuenda.
🤣🤣🤣 Nani kakuambia kuwa BRICKS S ni uwadui haustaili hata kuonana? Acheni upumbafu kuna mambo mengi ya kuzungumza nje ya brics
 
Usinilishe maneno Trump nimeanza kumuona hata kabla ya Politics, actually niliona anafaa kwenye kile kipindi cha Apprentice USA sababu the man is a salesman (and at that a cars salesman) kwake yeye a bargain is everything na kwa wanaomjua unaweza kupush his ego na kumuonesha kwamba anapata kumbe you know what you are doing; now tukija kwenye one of his greatest accomplishment na brand / image aliyojiwekea a deal maker (kitabu cha Art of a Deal) hata hicho inasemekana kiliandikwa na mwingine yeye akachukua credit (kwa hili hana tofauti na rafiki yake Musk)

Kwahio mkuu wewe uliyeanza kumuona Trump kwenye mambo ya uchaguzi ndio inabidi uende deep na kuchambua huwezi kutafuta mazuri ya Trump kwa kuangalia CNN wala mabaya ya Trump kwa kuangalia Fox News you need to do your own research na sio hivyo tu bali kwa kuangalia na kufuatilia comment zake mwenyewe (sababu ni nyingi sana kwa mtu ambaye anapenda kila siku kuwa news)
 
Sina shaka na ufahamu wako kuhusu Trump ila nina mashaka na chanzo cha habari zako kuhusu Trump, unajua kuna propaganda chafu sana zimekuwa zikienezwa kuhusu Trump tangu alivyotangaza kuwania uraisi kwa mara ya kwanza na propaganda hizo zimekuwa zikienezwa na media za mlengo wa kushoto ambazo zinamilikiwa na maglobalists ambo wengi ni maadui wa Trump ambao amekuwa akienda kinyume na wao sehemu nyingi sana ikiwemo suala la covid 19.

Mfano kama juzi Trump kasign executive order ambayo inazilazimu mara moja shule zote nchini marekani zisitishe mandatory vaccination ya covid-19

Ila MSNBC wakaandika "Trump signed executive orders that prevents children from getting vaccination against deadly diseases at school"

Sasa kwa mtu ambaye anategemea zaidi hizi liberal medias atamuona Trump ni mtu ajabu sana, kwamba hataki watoto wapate chanjo, kumbe ameondoa tu ile hali ya kuwalazimisha watoto kupata chanjo.
 
Sasa ngoja tuongelee Covid...; Kwa Rais ambaye inabidi awe diplomatic mwanzo kabisa alikuja na conspiracy ambazo hazikuwa proven kwamba hii Corona ilianzia kwenye laboratory za wachina..., Kumbuka huyu ni raisi wa nchi na sio mtu wa kwenye gahawa
At the White House on Thursday, Mr Trump was asked by a reporter: "Have you seen anything at this point that gives you a high degree of confidence that the Wuhan Institute of Virology was the origin of this virus?"
"Yes, I have. Yes, I have," said the president, without specifying. "And I think the World Health Organization [WHO] should be ashamed of themselves because they're like the public relations agency for China."
Asked later to clarify his comment, he said: "I can't tell you that. I'm not allowed to tell you that."

-canada-52496098

Na sio hivyo tu hapa alionekana akisuggest watu wajidunge disinfectants ili kuzuia Corona hapo tu baada ya kusikia kwamba disinfectants watu wakinawa inaua virusi (hii inaonyesha huyu mtu hafuatilii mambo kwa undani bali anayachukua chukua tu)


View: https://youtu.be/zicGxU5MfwE?si=fIXK_FOJa3eTraxF
 
Na hao ndio shabaha ya usa 🇺🇸......wakitoka tu hao brics inakwenda na maji??
Hivi Goals / Objectives za Brics and its members states ni nini ?

The primary goals of BRICS are to promote economic growth, development, and cooperation among its member countries. They also aim to reform the international financial and political system to better reflect the interests of emerging economies. Hii ikiwa ni pamoja na over-dependency of the dollar, sasa niambia as a third party (concerned third party what is so bad about that)? Na kwa taarifa yako BRICS and its partners wana population zaidi ya Nusu ya Population ya Dunia..., Na Trump amewasaidia sana kuwapa promo sababu anatumia stick na sio carrot (na kumbuka binadamu hapendi kupelekeshwa)
 
Huyu Jamaa mda mwingine Yuko arrogant sana,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…