mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
🤣🤣🤣 Nani kakuambia kuwa BRICKS S ni uwadui haustaili hata kuonana? Acheni upumbafu kuna mambo mengi ya kuzungumza nje ya bricsTrump alimualika Xi kwenye uapisho wake hakuenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Nani kakuambia kuwa BRICKS S ni uwadui haustaili hata kuonana? Acheni upumbafu kuna mambo mengi ya kuzungumza nje ya bricsTrump alimualika Xi kwenye uapisho wake hakuenda.
Usinilishe maneno Trump nimeanza kumuona hata kabla ya Politics, actually niliona anafaa kwenye kile kipindi cha Apprentice USA sababu the man is a salesman (and at that a cars salesman) kwake yeye a bargain is everything na kwa wanaomjua unaweza kupush his ego na kumuonesha kwamba anapata kumbe you know what you are doing; now tukija kwenye one of his greatest accomplishment na brand / image aliyojiwekea a deal maker (kitabu cha Art of a Deal) hata hicho inasemekana kiliandikwa na mwingine yeye akachukua credit (kwa hili hana tofauti na rafiki yake Musk)Tatizo umelishwa sana propaganda za chuki kuhusu Trump na liberal medias na zimekukaa haswa.
Haya hizo hizo liberal media outlets zilisema hata zile assassination attempts alizofanyiwa kipindi cha kampeni zilikuwa staged, bila shaka hata hii nayo umeiamini etii kwamba Trump kunusurika kifo yalikuwa ni maigizo?
Kama picha inakuja kuja vile. 🤔Manake si kwa mbwembwe zile za uso na vidole kila anapopasha mahasimu wake wa ndani.Trump alipaswa kuzaliwa mwanamke tena wa Buza au kwa mtogole.
Sina shaka na ufahamu wako kuhusu Trump ila nina mashaka na chanzo cha habari zako kuhusu Trump, unajua kuna propaganda chafu sana zimekuwa zikienezwa kuhusu Trump tangu alivyotangaza kuwania uraisi kwa mara ya kwanza na propaganda hizo zimekuwa zikienezwa na media za mlengo wa kushoto ambazo zinamilikiwa na maglobalists ambo wengi ni maadui wa Trump ambao amekuwa akienda kinyume na wao sehemu nyingi sana ikiwemo suala la covid 19.Usinilishe maneno Trump nimeanza kumuona hata kabla ya Politics, actually niliona anafaa kwenye kile kipindi cha Apprentice USA sababu the man is a salesman (and at that a cars salesman) kwake yeye a bargain is everything na kwa wanaomjua unaweza kupush his ego na kumuonesha kwamba anapata kumbe you know what you are doing; now tukija kwenye one of his greatest accomplishment na brand / image aliyojiwekea a deal maker (kitabu cha Art of a Deal) hata hicho inasemekana kiliandikwa na mwingine yeye akachukua credit (kwa hili hana tofauti na rafiki yake Musk)
Kwahio mkuu wewe uliyeanza kumuona Trump kwenye mambo ya uchaguzi ndio inabidi uende deep na kuchambua huwezi kutafuta mazuri ya Trump kwa kuangalia CNN wala mabaya ya Trump kwa kuangalia Fox News you need to do your own research na sio hivyo tu bali kwa kuangalia na kufuatilia comment zake mwenyewe (sababu ni nyingi sana kwa mtu ambaye anapenda kila siku kuwa news)
Sasa ngoja tuongelee Covid...; Kwa Rais ambaye inabidi awe diplomatic mwanzo kabisa alikuja na conspiracy ambazo hazikuwa proven kwamba hii Corona ilianzia kwenye laboratory za wachina..., Kumbuka huyu ni raisi wa nchi na sio mtu wa kwenye gahawaSina shaka na ufahamu wako kuhusu Trump ila nina mashaka na chanzo cha habari zako kuhusu Trump, unajua kuna propaganda chafu sana zimekuwa zikienezwa kuhusu Trump tangu alivyotangaza kuwania uraisi kwa mara ya kwanza na propaganda hizo zimekuwa zikienezwa na media za mlengo wa kushoto ambazo zinamilikiwa na maglobalists ambo wengi ni maadui wa Trump ambao amekuwa akienda kinyume na wao sehemu nyingi sana ikiwemo suala la covid 19.
Mfano kama juzi Trump kasign executive order ambayo inazilazimu mara moja shule zote nchini marekani zisitishe mandatory vaccination ya covid-19
Ila MSNBC wakaandika "Trump signed executive orders that prevents children from getting vaccination against deadly diseases at school"
Sasa kwa mtu ambaye anategemea zaidi hizi liberal medias atamuona Trump ni mtu ajabu sana, kwamba hataki watoto wapate chanjo, kumbe ameondoa tu ile hali ya kuwalazimisha watoto kupata chanjo.
Na hao ndio shabaha ya usa 🇺🇸......wakitoka tu hao brics inakwenda na maji??India ni kirusi ktk muungano wa BRICS. Ni watumwa wa west hao.
Hivi Goals / Objectives za Brics and its members states ni nini ?Na hao ndio shabaha ya usa 🇺🇸......wakitoka tu hao brics inakwenda na maji??
Huyu Jamaa mda mwingine Yuko arrogant sana,.Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana.
Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka kucheza na dollar($) atawapiga na kitu kizito, tariffs 100%, hawataweza kufanya biashara na Marekani tena kiasi kwamba watarudi kuomba msamaha kwa magoti. Anasema tangu ametoa kauli hiyo wamesambaratika, hakuna hata anayetaka kujulikana aliwahi kuwa BRICS!
View attachment 3236734
kwa akina bhaaghoshaa hiiiiiAnapenda sifa huyu au ana dam ya kanda ya ziwa