Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Naona wamarekani wa Buza sasa wanaanza kuelewa makali ya Muajemi..
Wamarekani wako overrated sana.. airdefence mbovu sana..

Kumbe dogo kiduku na ma-intercontinental yake angempiga marekani hadi akachakaa.
Marekani aliposoma mchezo akaona atakula kichapo ikabidi aombe peace..

Kuanzia leo tuelewane marekani ni mkwala tu hana lolote.. uwezo wake mkubwa ni kuchonganisha watu.. laki yeye kama yeye anapigwa asubuhi tu
 
Nimefurahi hakuna Vita
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashia wale wana roho mbaya balaaa!!!!hawataki ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amshukuru rais wa Iraq kwa kuwapa taarifa mapema baadae ya yeye kufahamishwa na Iran aondoe Askari wake iraq.wakakimbia kujifichaaa!hawana mfumo was kukinga makombora watakufa vinywa wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza nje ya box,
Mission completed!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hizo military base Marekani allikuwa kaziweka kama mapambo hazikuwa na wanajeshi wala na mitambo ya maana? Yes alikuwa muhimu kauawa na wakatishia wakijibu watakiona sasa vipi mzee hivi baada ya majibu Trump kasemaje vile?
Ukiangalia wanaomponda Iran Ni chuki dhidi ya Taifa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu kwa mikwara yake aliyo kuwa akiipiga Iran kabla ya shambulizi la leo.
Siamini kama kaufyata aisee daa nimeamini vita sio lele mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…