Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.
Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:
1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.
2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.
3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?
Iran bado ina tapatapa