Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.

Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:

1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.

2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.

3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?

Iran bado ina tapatapa
 
Tunaomba majadiliano jamani,msituue chonde chonde-US
tapatalk_1578553239033.jpeg

dodge
 
Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.

Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:

1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.

2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.

3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?

Iran bado ina tapatapa
Alafu inakuwaje 80.... na sio themanini na....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"All is well"
If you understand you are confused, you better upstand.
 
Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.

Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:

1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.

2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.

3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?

Iran bado ina tapatapa
Hilo moja, lkn itakuwa ni uzembe ambao hakuna nchi duniani inaweza kuufanya iwapo Wamarekani wangeuwawa. Inawezekanaje Iran atangaze kulipa kisasi halafu Marekani wakae kwa kubweteka kwenye eneo ambalo lina uwezekano mkubwa wa kushambuliwa?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushabiki ndugu, yanayoendelea kwenye hii dunia na agenda zake ni zaidi unavyoona na kusikia kwenye media.
Ingefaa ubaki kuombea amani na utulivu tu duniani sababu kinachoendelea kwenye hayo majibizano ya silaha ni zaidi vita wanazotishiana kila siku.

Nikirudi kwenye swali lako ni kwamba technologia imekuwa sana sasa hivyo inawezekana hiyo idadi ya vifo ilifahamika kwa njia ya technology

Pili inawezekana idadi ya vifo ilipatikana kwa kutumia double Agent sababu mashirika makubwa ya kijasusi duniani yana mtindo wa kupandikiza Agent kwenye shirika lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.

Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:

1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.

2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.

3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?

Iran bado ina tapatapa
Yani wewe umeandika hii habari ukiwa na mihemko ya mabwana zako wamarekani

Jaribu kutulia uandike kitu kinachoeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.

Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:

1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.

2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.

3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?

Iran bado ina tapatapa
Haha dogo Iran anayo technology ya juu ambayo inaweza kuhesabu maiti na majeruhi kwa mbali, aliweza kugundua waliokuwa ndani ya ndege ya USA asigunduwe walio kwenye base.

Heading yako inasema "Huu ndio uongo wa Iran" But content yako imekuja kwa mfumo wa kuuliza maswali!
Ulitakiwa ulete prove yako kuuonyesha huo uongo wa Iran,

Imekua ni rahisi sana siku hizi kuanzisha thd Jf..!!
 
Kwanza kuhusu kujua idadi ya walio fariki Kumbuka Iran ina majasusi wake ndani ya vyombo vya usalama vya Irak kwa hiyo walikuwa wana mtaarifu kila lililo kuwa linaendelea.
Suala sio uzito wa mtu kitendo cha Iran kuilenga kambi yenye ulinzi mkubwa kama hiyo lakini walishindwa kuzuia hata kombora moja linazidi kuonesha udhaifu mkubwa ya mifumo ya ulinzi ya kimarekani.
Leo wizara ya ulinzi ya marekani katoa taalifa rasimi ya shammbulizi amesema makombora hayo yaliharibu mahema,ndege moja ya kivita na herkopita kadhaa na ndege moja isio na rubani,na pia yameharibu njia ya inayo tumika kurusha ndege.
Ukijaribu kufatiria ripoti hiyo inaendana kabisa na maelezo yaliyo tolewa na Iran ila limetofautiana kwenye vifo na majeruhi.
Narudia tena marekani huwa hakubali madhahifu yake.
 
Iran hajaua wale askari kwa sababu anafahamu angefanya hivo kitachompata kingekua hatareeeee.....wanatumia propaganda. Wanataka dunia ifahamu wamelipa kisasi. We subiri baada ya muda flani Iran atapiga kimya na maisha yataendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran hajaua wale askari kwa sababu anafahamu angefanya hivo kitachompata kingekua hatareeeee.....wanatumia propaganda. Wanataka dunia ifahamu wamelipa kisasi. We subiri baada ya muda flani Iran atapiga kimya na maisha yataendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacheni hizo ikiwa hakuna mmarekani aliyekufa au kumia basi majumba ya yalikuwa hayana wanajeshi au American military abandoned their base baada ya kumua General Suleiman inaonyesha ni vipi Jeshi la Us real cowards in war 😂 😁
 
Acha ushabiki ndugu, yanayoendelea kwenye hii dunia na agenda zake ni zaidi unavyoona na kusikia kwenye media.
Ingefaa ubaki kuombea amani na utulivu tu duniani sababu kinachoendelea kwenye hayo majibizano ya silaha ni zaidi vita wanazotishiana kila siku.

Nikirudi kwenye swali lako ni kwamba technologia imekuwa sana sasa hivyo inawezekana hiyo idadi ya vifo ilifahamika kwa njia ya technology

Pili inawezekana idadi ya vifo ilipatikana kwa kutumia double Agent sababu mashirika makubwa ya kijasusi duniani yana mtindo wa kupandikiza Agent kwenye shirika lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unafanya assumptions tuu
 
2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.
Unajua kwa nini mpaka sasa tunaonyeshwa picha za satelite tu!? Kwa nini US hajaruhusu waandishi wa habari kuingia ama kukaribia kwenye eneo la tukio!? Wakati mwingine tunalazimika kuchanganya za kwetu!
1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.
Nadhani yale makombola yalikuwa 'guide' i.e. may have electronic devices to send image/massage back to Iran. Kumbuka 19 yalidondoka pale na mawili kati yake haya kulipuka baada ya kudondoka ndani ya kambi hiyo.
===
Mara nyingi ukweli katika mazingira haya huwa unashambuliwa sana ili kulinda morali ya raia na jeshi..
 
Hakun kitu hapo inasemekana Iran walitoa taarifa kuhusu shambulio mapema sana.

Hizo base zinamilikiwa na nchi nyingi, Iraq mwenywe, Uk, France, Poland lakin wote kwa nyakati tofauti wanasema hakun casualties manake mashambulizi yote ni OFF TARGET

Iran ni sehem y mpango wa trump kugombea awamu ya pili, Wanakuchezesh ngoma bila wew kujua. Pole
Hiyo ni possible!

Iraq walitumiwa taarifa mapema kabla ya tukio na it's possible pia Marekani na mataifa mengine yenye majeshi hapo yalikuwa yakifahamu hilo.

Na hata baada ya mashambulizi pia maafisa wa kijeshi wa Marekani wanadai walikuwa wakitumiwa jumbe kuwa mashambulizi yamemalizika.
 
Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.

Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:

1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.

2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.

3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?

Iran bado ina tapatapa

Wanashindwaje kuhesabu ktk ulimwengu wa karne hii? Sema upo sahihi, wangetuwekea evidence.
 
Hua nacheka na kusikitika sana nnapoona watu wanashadadia vita.. Mnavijua vita kweli.?? Yaan Mtz ambae akisikia mlio wa risasi anakimbia kama mbwa koko eti nae anashadadia vita, idiots. Kiuhalisia hakuna taifa la kupigana na USA katika karne hii hakunaa, USA na UK ndio watawala wa mwisho ktk kizazi hiki wanaunda kitu inaitwa "Anglo-America"
Kwahyo katika tawala 7 za dunia hii hawa jamaa ndo wa mwisho na haiji kutokea mbabe mwingne duniani apa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom