Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Huwa nawaaambia humu kuwa US ni wadanganyifu sana na hawapendi kuonekana wamepoteza, watawadanganya mambulula lakini.Mkuu kwa akili ya kawaida kambi mbili zilipuliwe ikosekane hata majeruhi , yakwel hayo, yakuambiwa changanya na ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app