Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Mission accomplished,
"By removing Soleimani, we have sent a powerful message to terrorists: If you value your own life, you will not threaten the lives of our people."
 
Kusema ukweli nimeshangazwa sana na hotuba ya leo aliyoitoa Trump.

Yani raisi wa taifa lenye nguvu duniani anaongea kinyonge namna hii utafikiri raisi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar,!!?

Sio siri tena marekani ameshaanza kurealize njia aliyoingia is a dead end.

Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
Wewe mjinga sana unataka kutuaminisha Rais wa mapinduzi ya Zanzibar ni dhaifu????
 
Waoga? Kapiga military base baada ya mikwara yote ya Trump na kasema kuwa ni yeye bado unamuita muoga? Dah kwa kujipa moyo... US anajiepusha kuingia vitani ashajua kuwa Iran yuko tayari na si ajabu anajua kuwa kuna sababu inayompa kiburi Iran siyo kawaida sasa hapa anafanya damage control ya kuikimbia vita eti angeua hata askari mmoja?
US this time kapatikana allikuwa kazoea washika waaarab makalio sasa kakutana na Muajemi
Hakun kitu hapo inasemekana Iran walitoa taarifa kuhusu shambulio mapema sana.

Hizo base zinamilikiwa na nchi nyingi, Iraq mwenywe, Uk, France, Poland lakin wote kwa nyakati tofauti wanasema hakun casualties manake mashambulizi yote ni OFF TARGET

Iran ni sehem y mpango wa trump kugombea awamu ya pili, Wanakuchezesh ngoma bila wew kujua. Pole
 
Hakun kitu hapo inasemekana Iran walitoa taarifa kuhusu shambulio mapema sana.

Hizo base zinamilikiwa na nchi nyingi, Iraq mwenywe, Uk, France, Poland lakin wote kwa nyakati tofauti wanasema hakun casualties manake mashambulizi yote ni OFF TARGET

Iran ni sehem y mpango wa trump kugombea awamu ya pili, Wanakuchezesh ngoma bila wew kujua. Pole
HAHAH kila mtu aamini anachoamini, mimi nimemuamini Iran we muamini US.
Iran siyo mtu mzuri kabisa
 
Inawezekana Vp Kambi Yajeshi Ipigwe Halafu Asife Ama Kujeruhiwa Hata Mfanyakazi Mmoja Tuu ?!

Maswali Yangu Hapa CHINI

Na Kwakiasi gani US Kambi Zao Haziaminiki Mpaka Balkistic Zika Penya Ndani.

US Inamaana wamekubali kwamba Hawawez Pambana Na IRAN ?!

Kama Hoja Yake Yakimsingi Ni FUTURE ya IRAN Katika Nchi Nyengne Hakujua Kama Kuna Vijana

Na wakati anasema kama IRAN Wakigusa Hata Kambi Yao Atajibu Alikua Namaana Gani ?!



US = PAPER TIGER.....


Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifany mgumu kuelewa, kambi ni kubwa n sio yote imetapakaa watu, kuna maghara kun store kuna office, kwani yale mabum y mbagala yaliua wajeda?
 
HAHAH kila mtu aamini anachoamini, mimi nimemuamini Iran we muamini US.
Iran siyo mtu mzuri kabisa
Husismini bila proof, ungepata pich inaonesha mizoga ya wamerakani hapo sawa, ila hakuna tunaon pich y maghara yameharibiwa
 
Waache wajinga wajitape, hawamfahamu mmarekani,
Huwa anajifanya amesahau sasa litapigwa shambulizi Iran watabaki kulalamika, Marekana ana base kubwa sana kijeshi duniani, amewekeza sana kwenye silaha, atamtwanga tu maana hawezi kujionesha inferiority asije vutwa ndevu na vibonde
Amna kitu alisema akiguswa cha moto ataona kamgusa na mabomu juu ya kambi yake unataka aguswe vipi!bado mademu zake wa Uk walikua wanataka kutokomea wakawashukia wakalishusha pipa Us bila msaada mwepesi tu.na anajua Iran ni mtu siejulikana kwa sasa maana yuko karibu au ndie alijenga ukaribu sana na wababe a.ak.a vichwa ngumu wengine China N.korea India Rusia.Us anakwenda anguka kwa muiran
 
Umeweka taarifa nusu, weka na Satellite image ya majengo yaliyotandikwa ndani ya hiyo base

Ukweli ni kuwa Missiles zimetua ndani ya majengo kadhaa ndani ya hiyo base na zimeyachakaza.

Sasa huko siyo kupigwa au ulitaka kupigwa lazima watu wafe?

Kwa hiyo kama hakufa mmarekani ndo base hazijapigwa? -Kaka vitu vimetua kwenye base precisely siyo off target wala nini
Kwani target ya kulipiza kisasi baada ya kamanda wao kuuliwa ilikua ni nini?

Kutoka kwenye kichwa cha trump mpaka kulipua kambi ambayo hajachubuka hata mjeda mmoja we hujiulizi tu kua jamaa kasanda?

It's Scars
 
Marekani lazima akili iwakae sawa
Screenshot_2020-01-09-09-54-23.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom