Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Mawazo yako ni mgando mkuu. Osama alikua anaongoza kikundi cha mafichoni,siyo nchi. Ni guerilla war. Iran ni nchi kamili na imeutangazia ulimwengu mchana kweupe kama nchi,tumepiga kambi zenu na siyo THAAD au chochote kimeweza kuzuia makombora kuhit targets.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imepiga magofu ya kambi
 
Stori za kujifariji za vijiweni hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kila umuonaye humu jukwaani hushinda katika hivyo "vijiwe" vyenu.


1578599925994.png


 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.

Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:

1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.

2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.

3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?

Iran bado ina tapatapa
Uzito Wa Roho Zote Sawa Mtu Mmoja Atabakia Kua Mmoja Na Watu 80 watabakia kama walivyo


Nb:US =Anamifumo Butu Sana Ya Ulinzi Wa Anga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huhitaji kwenda Chuo Kikuu ili kujua ukweli halisi baada ya Iran kushambulia kambi za Marekani.

Trump asitudanganye. Sisi ni watu wenye akili timamu. Ukisikia kambi ya jeshi maana yake inafanya kazi masaa yote hakuna kulala wala kusinzia.

Katika hali ya kawaida kabisa, inawezekanaje kambi yenye wanajeshi ndani yake ikateketezwa na Makombora halafu asife mwanajeshi hata mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukurupuka mkuu na uache kuandika uzi kishabiki. Hao wanajeshi waliokufa wako wapi.?? Umeona picha zao..?? Au evidence yoyote ya mwanajeshi wa USA kafa..?? Yaan marekani wanajeshi wake zaidi ya 50 wauawe halafu wao wafiche au wakatae kwa faida ya nani.,hivi unajua gharama ya kumtunza mwanajeshi mmoja wa marekani kwa mwaka mmoja nje ya nchi yao ni kiasi gani..?? Je hao wanajeshi hawana ndugu..??

Vtu vngne sio mpk uwe na elimu ya chuo kujiongeza, yule General hakuuawa bahati mbaya watu wenye akili walikaa wakacalculate na wakafanya maamuz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasaivi Iran inaonekana chungu sana aiseee kwa mataifa ya magharibi, Umoja wao ndio ulipowafikisha apa, hongera sana Iran kwa ujasiri uliouonesha, hapa nimejifunza ktk maisha apana kukata tamaa licha ya changamoto unazopitia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona akili zinawarudi baada ya kichapo BREAKING: The House passed a war powers resolution that limits President Trump's ability to wage war in Iran. It blocks U.S. military force against Iran without Congress's approval or declaration of war. AJ+ on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom