Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Rouhan naomba urudie hamjaua hata sisimizi pale!
 
Trump, vipi tena unasema hamna hasara zozote halafu hapo hapo unataka vikwazo viongezwe amekufanyia kibaya kipi hahahaah
 
Iran baba lao,mamaee Trump amebaki analia lia tu hahah

dodge
 
Huyu trump si alijitapa ana vifaa vya kisasa Imekuaje makombora yameshambulia kambi zake mbili na radar anazo bila kuyaona makombora.
 
Rais wa Marekani Donald Trump Katoa Hotuba Yake Baada ya Shambulizi la Iran lililopiga ngome mbili za Marekani leo...Hapa Nimekuwekea Mambo Muhimu Sita aliyosema


1.Trump: Hatuko Tayar na Hatutakubali Iran imiliki Silaha za Nuclear

2.Trump: Mashambulizi ya Iran hayajasabisha madhara yoyote. Hakuna Mwanajeshi hata mmoja aliyeuawa zaidi ya uharibifu mdogo tu kwenye kambi zetu

3.Trump: Iran wanaonekana kunywea; Makusudi kabisa wamechagua kutoua mwanajeshi wetu hata mmoja. Hii ni kitu kizuri kwetu na Dunia nzima

4.Trump: Jenerali wao tuliyemuua alikuwa anapanga kufanya mashambulizi makubwa kwenye ngome zetu, lkn tukamuwahi na kumuua.

5.Trump: Tunaomba washirika wetu wote wajitoe kwenye makubaliano ya Nuclear na Iran ili tutengeneze Makubaliano mapya yatakayoifanya Dunia nzima kuwa salama. Iran haipaswi kumili Silaha za Nuclear!

6.Trump: Marekani kwa sasa haihitaji mafuta au gesi toka Mashariki ya kati. Tunajitosheleza kwa kila kitu

Baada ya Trump kumaliza hotuba yake ya Dk 10 kuhusu Iran, hajaruhusu maswali na badala yake ametangaza kuiwekea Iran vikwazo zaidi kutokana na shambulizi la leo
Source : Rais wa Marekani Donald Trump Katoa Hotuba Yake Baada ya Shambulizi la Iran...Hapa Nimekuwekea Mambo Muhimu Sita Aliyosema
 
Aibu sana aisee,ooh we've the biggest&baddest army in the world lkn leo wavaa makobazi wamewakimbiza mpk mmefyata mkia hahah.

dodge
 
Trump, vipi tena unasema hamna hasara zozote halafu hapo hapo unataka vikwazo viongezwe amekufanyia kibaya kipi hahahaah
Watu walidhani 'umepotea au potezwa' kumbe upo?

Maana yake ni kwamba Trump amekubali Iran naye ni mwanaume. Iran asingejibu chochote angeonyesha ni dhaifu. Hali hiyo ndio inayotafutwa sana na hawa wenye mabavu.

Kama una kauwezo fulani, jitutumue, usiwe kama kama 'whimp' hivi.
Korea Kaskazini asingekuwa na kitu, leo hii tusingekuwa tunasikia habari zake, kama tulivyokwishasahau za Ghadaffi.
 
Niko pamoja na wewe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu sana aisee,ooh we've the biggest&baddest army in the world lkn leo wavaa makobazi wamewakimbiza mpk mmefyata mkia hahah.

dodge
Jamaa yako vita kaikacha sasa kaamia kwenye michambo mara ooh lazima nilipize kisasi

watu wakamuunga mkono kua sawa lipiza huku marekani naye akawa mpambe wake jamaa akaona wee usintanie nani aende kulipiza kisasi kisa kasimu mganga?

ikabidi sasa awape task hawa wapambe waliokua wanamjaza upepo ili kujua kua kweli wanamuunga mkono.

Akatoa agizo kua atayeweza kuleta kichwa cha trump atapewa dollar milion 80 wapambe ndio ikawa kama wamefukuzwa kiana hata kutia mguu iran ikawa ndio mwisho

Saizi wapambe wa iran wameamia mtandaoni kumsapoti baada ya kuona jamaa anataka a risk maisha yao kwa milion 80$

Wajanja washastukia mchezo wamebaki wanasema kimya kimya tu hujiulizi kwanini jamaa kaamua kutoa taarifa za uongo na off target zake?

Barcelona anacheza na Namungo Eti kwasababu humpendi messi basi unaamua kuishabikia namungo kwa kudhani ukifanya hivyo utawaepushia namungo kipigo
 
Hahah maneno meengi wkt dunia nzima imeshahudia kilichofanyika.

Iran baba lao aisee,US kafyata mkia.No more tweeting

Kwa ushindi huu niko nakula kitimoto na beer kama 4 hivu huku uswahilini kwetu.,kujipongeza kwa ushindi huu.
dodge
 
Hahah maneno meengi wkt dunia nzima imeshahudia kilichofanyika.

Iran baba lao aisee,US kafyata mkia.No more tweeting

Kwa ushindi huu niko nakula kitimoto na beer kama 4 hivu huku uswahilini kwetu.,kujipongeza kwa ushindi huu.

dodge
Bora wewe hata kitimoto kinapanda mwenzako hali taiti huko naskia hata maji anaomba alainishiwe

Mazee utamu wa vita usimame upande unaoshinda hili shati kubwa iran halimfit labda asubiri akue

Iran hata kombora la kuifikia tanzania hana, inamaana hata sisi tunaweza tukazicheza na tukamkalisha

Silaha za iran unazoziona wewe kama zakivita marekani anaziona kama zakutulizia ghasia mtaani yani kama maji ya upupu tu

nishakwambia kwamba ile laki 5 niliyoitunza baada ya kukosa wazo la biashara kwa muda mrefu nataka nikafungue biashara ya chips kule iran

Hapa anaye nikawiza ni mmarekani nasubiri arushe kombora mi nibebe viazi tu maana nyama ntaikuta kule kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…