Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Vita ya marekani inaathari kubwa mno kwa mataifa kama ya kwetu,,mzigo unatoka USAID ukate wote na mingine mingi hali itakuwaje,,ni jambo la kuhuzunisha lakini pia mamilioni ya watu kufarika na kukosa makazi sababu za vita n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mshangaa huyo kijana

Unajua toka asubuhi anashadadia hii vita as if yaani

Africans tuna shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran kumbe wanatisha hivi...hii soft tune ya Trump sikuitegemea.!!!
====
Lakini nadhani watakuwa wanaplan more 'evil' dhid ya Iran. Iran must not be ease to this soft bait!
Nafikiri ni move ya kisiasa hii... Kumsafisha second term... Na kumbuka ule mchakato wa kumuimpichi bado upo.

Hii movie itakuwA ilipangwa.
 
Back
Top Bottom