TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
True, na amemaliza kuongea tayariAmbao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran.
Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira .
Tupeane updates
Sent using Jamii Forums mobile app
Atoe maamuzi magumu aumie?? Namsubiri Hassan Nassirullah sijui atasemajeKamaliza kuhutubia ni mwendo wa Taarabu tu sijasikia maamuzi magumu mpaka nimemkumbuka Bush Jr na H. Truman
Bora aiaseUS has stand down... No retaliation
Yaani hapa mashirika na projects zake,,vita itaathiri pia safari za watalii,,safari zitakuwa riskyWakikata yale maARV tu watu wataanza kudondoka kwa mdondo...
Yaani vita yoyote itayomuusisha USA itahusisha na mataifa ya Ulaya yale yapo NATO
He can't do shit and they will have to move out of Iraq. Watauliwa kama kuku wenye videri kule
Na mshangaa huyo kijanaVita ya marekani inaathari kubwa mno kwa mataifa kama ya kwetu,,mzigo unatoka USAID ukate wote na mingine mingi hali itakuwaje,,ni jambo la kuhuzunisha lakini pia mamilioni ya watu kufarika na kukosa makazi sababu za vita n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ni move ya kisiasa hii... Kumsafisha second term... Na kumbuka ule mchakato wa kumuimpichi bado upo.Iran kumbe wanatisha hivi...hii soft tune ya Trump sikuitegemea.!!!
====
Lakini nadhani watakuwa wanaplan more 'evil' dhid ya Iran. Iran must not be ease to this soft bait!
He sounds like he's on something.Iran kumbe wanatisha hivi...hii soft tune ya Trump sikuitegemea.!!!
====
Lakini nadhani watakuwa wanaplan more 'evil' dhid ya Iran. Iran must not be ease to this soft bait!
Ha ha ha hAa! Maana alivyokuwa anahema hatari. Hakutaka hata maswali kakimbia speed!He sounds like he's on something.
Ngoja tuone
Hataki vita.Kamaliza kuhutubia ni mwendo wa Taarabu tu sijasikia maamuzi magumu mpaka nimemkumbuka Bush Jr na H. Truman
He can't do shit and they will have to move out of Iraq. Watauliwa kama kuku wenye videri kule