Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #41
Tanzania nako huo wimbo hakuna udini upo na papo hapo udini mara nyingi unatumika kuamua uchaguzi.Kura ni za watu hakuna kura za udini kwa sababu hatafutwi mufti mkuu ila anatafutwa rais ambaye ataongoza kwa mujibu wa katiba na hatafuata maandiko ya msaafu wowote.
Remember United States is a secular state just like Tanzania therefore the voting pattern is not based on the people's religious inclinations but party's policies.
Kwa mfano huo na Marekani pia athari za dini zinatumika kuamua raisi.
Kuna muislamu mmoja anazungumza kama chiriku mfano wa Obama anaitwa Louis Farakhan.Huyu akisimama kutaka uraisi basi kwanza atawekwa pembeni kwa dini yake.