Trump hatashinda japo na Kamala Harris hatauweza urais wa Marekani kipindi ambapo taifa hilo linadidimia

Uchumi wa marekani hauwezi kua mzuri au imara kwakudanganya watu kua uchumi wa russia ndio mbaya kijana

Badala yake ilitakiwa utoe takwimu za uzuri za uchumi wa Americants na ubaya wa uchumi wa Russia tulinganishe
Jimbo la California pekee lina uchumi mkubwa kuliko uchumi wote wa Russia
 
Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya kihuni na kupenda ubaguzi pamoja na uadui kwa waislamu hautamuwezesha Donald Trump kurudia kwenye kiti cha uraisi.Wamarekani wanaompinga wakiwemo wa rangi mbali mbali na wahamiajia hawatampigia kura kabisa.
Trump atabaki na kundi la wabaguzi wa rangi ambao hawatotosha kumpatia kura za uraisi.
Kwa maana hiyo Kamalla Harris ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti hicho,kwanza kwa vile ni mwanamke na enzi hizi wanawake ni wengi sana kwenye chaguzi za mataifa mengi na ni rahisi kushawishika na vitu ambavyo si rahisi kuwapata wanaume.
Vile vile Kamalla ni Mmarekani mwenye asili ya nje ambapo katika Marekani idadi ya watu hao ni wengi sana.Waliotokea Afrika,America kusini,China na bara hindi.Wote hao ni wapiga kura wake.
Wapiga kura waislamu japo sio wengi lakini wote pamoja na matatizo ya viongozi wa Democratic akiwemo raisi wa sasa Biden kujipendekeza kwa mayahudi,pamoja na hivyo Trump anaonekana ni hatari zaidi kwao kuliko Kamalla.
Tukija upande wa Kamalla ambaye ana asilimia kubwa za kushinda.Jee atauweza uraisi huo wakati taifa hilo liko kwenye hali mbaya za kiuchumi na liko mbioni kuzama .Uadui na mataifa makubwa kama Urusi na China pamoja na vita vya Gaza ni majukumu ambayo huwa ni mazito kwa raisi mwanamke.
Kwa namna yoyote ile kinachoendelea kwa Marekani kwa sasa ni tope ambalo hatimaye litaizamisha na kuwa nafuu kwa dunia nzima baada ya taifa hilo kufanya jeuri na kufuru kwa muda mrefu duniani.
Inategemea na Taasisi ya urais atakayoitengeneza.

Ikiwa strong, jinsia ya umwanamke katika urais wake haiwezi ikaonekana.
 
Nimekwambia kuna tofauti ya national popular vote na state popular vote.

State popular vote ndo ina determine kiasi cha electoral college votes ambazo mgombea anapata.

Wewe hujui kabisa unachokiongelea.

National popular vote haiamui mshindi wa urais Marekani.
Kwani wewe ulipo ni nukuu hukusoma nilichoandika na kuelewa?

Haya nakupatia link ujisomee

Hapo wanasisitiza kuwa electoral college votes ndo zinaamua nani awe raisi wa marekani.
 
Mgombea anazipataje hizo electoral votes?

Mfano, ili mgombea aweze kuziptata electoral votes 19 za PA, inabidi afanyeje?
 
Hao waislam kwanini wasiende Saudi Arabia
 
Mgombea anazipataje hizo electoral votes?

Mfano, ili mgombea aweze kuziptata electoral votes 19 za PA, inabidi afanyeje?
Soma post yangu namba #30 na yako namba #31 Kisha ujitafakari

Mimi sitaki kujua hao watu wachache wanaoamua nani awe raisi wa marekani
Nilitaka kumjuza Mtoa mada kuwa popular vote haziamui nani awe raisi wa marekani,
Trump alishinda uraisi kwa electoral votes dhidi Hillary Clinton.

Nilikutumia hii link sidhani kama umesoma manguli walichojadili

Punguza majivuno na kujiona unamiliki taarifa.
 
Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya kihuni na kupenda ubaguzi pamoja na uadui kwa waislamu hautamuwezesha Donald Trump kurudia kwenye kiti cha uraisi.Wamarekani wanaompinga wakiwemo wa rangi mbali mbali na wahamiajia hawatampigia kura kabisa.
Trump atabaki na kundi la wabaguzi wa rangi ambao hawatotosha kumpatia kura za uraisi.
Kwa maana hiyo Kamalla Harris ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti hicho,kwanza kwa vile ni mwanamke na enzi hizi wanawake ni wengi sana kwenye chaguzi za mataifa mengi na ni rahisi kushawishika na vitu ambavyo si rahisi kuwapata wanaume.
Vile vile Kamalla ni Mmarekani mwenye asili ya nje ambapo katika Marekani idadi ya watu hao ni wengi sana.Waliotokea Afrika,America kusini,China na bara hindi.Wote hao ni wapiga kura wake.
Wapiga kura waislamu japo sio wengi lakini wote pamoja na matatizo ya viongozi wa Democratic akiwemo raisi wa sasa Biden kujipendekeza kwa mayahudi,pamoja na hivyo Trump anaonekana ni hatari zaidi kwao kuliko Kamalla.
Tukija upande wa Kamalla ambaye ana asilimia kubwa za kushinda.Jee atauweza uraisi huo wakati taifa hilo liko kwenye hali mbaya za kiuchumi na liko mbioni kuzama .Uadui na mataifa makubwa kama Urusi na China pamoja na vita vya Gaza ni majukumu ambayo huwa ni mazito kwa raisi mwanamke.
Kwa namna yoyote ile kinachoendelea kwa Marekani kwa sasa ni tope ambalo hatimaye litaizamisha na kuwa nafuu kwa dunia nzima baada ya taifa hilo kufanya jeuri na kufuru kwa muda mrefu duniani.
Wewe mtoa mada kwanza uandishi wako ni wa ngumbaru, yaonekana hata D 2 huna. Huo uwezo wa kuchambua politics za USA utaupata wapi. Hujui wapi uweke full stop, jina la Kamala Harris unalikosea
 
Soma post yangu namba #30 na yako namba #31 Kisha ujitafakari

Mimi sitaki kujua hao watu wachache wanaoamua nani awe raisi wa marekani
Nilitaka kumjuza Mtoa mada kuwa popular vote haziamui nani awe raisi wa marekani,
Trump alishinda uraisi kwa electoral votes dhidi Hillary Clinton.

Nilikutumia hii link sidhani kama umesoma manguli walichojadili

Punguza majivuno na kujiona unamiliki taarifa.
Ukiwaambia marekani hakuna demokrasia wanayoihubiri hapa wanapinga

Hillary alipata kura nyingi za wananchi ila hatimae DT alopata kula maana sio kura za vile vijamaa 400 akaingia ikulu

Marekani inatakiwa ielekezwe nini maana ya demokrasia
 
Mgombea anazipataje hizo electoral votes?

Mfano, ili mgombea aweze kuziptata electoral votes 19 za PA, inabidi afanyeje?
Electrol zanini wakati wananchi ambao ndio wanaojiita wapigania demokrasia husema kua ndio waamuzi walishachagua

Yaani wananchi million miangapi wanachaguliwa rais na electrol miangapi tuuu

Marekani wafundishwe kuhusiana na demokrasia
 
marekani kulingana na systeam yao ilivyo jengeka katika nyanja ya uongozi hasa uraisi hata ukiweka sahani au jiwe kuwa raisi nchi hiyo itaongozeka kama kawaida yule sio mama wa wakuupiga mwingi shule iko pale mkuu na viongozi wa staafu pia wako pamoja na kamala so nchi itasonga vizuri we tafuta visa ukaishuhudie marekani ya kamala
Ndio mlivyodanganya hivi kulikua na empire ilokua inapenda kuporomoka ambayo haikueka system nzuri

Suala la empire kuanguka hata ueke system gani inaanguka tu nisuala la muda tuuu

Hata USSR wakati wake ilikua inatisha leo iko wapi?

Roma empire ilikua inatisha na walijipanga hasa mpaka kua empire leo wako wapi

Tuje kwa ottoman walijiandaa hasa leo wakowapi

System hata iwe nzuro vipi inaweza ikaanza kuanguka kupitia hao hao waloiunda nk...
 
Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya kihuni na kupenda ubaguzi pamoja na uadui kwa waislamu hautamuwezesha Donald Trump kurudia kwenye kiti cha uraisi.Wamarekani wanaompinga wakiwemo wa rangi mbali mbali na wahamiajia hawatampigia kura kabisa.
Trump atabaki na kundi la wabaguzi wa rangi ambao hawatotosha kumpatia kura za uraisi.
Kwa maana hiyo Kamalla Harris ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti hicho,kwanza kwa vile ni mwanamke na enzi hizi wanawake ni wengi sana kwenye chaguzi za mataifa mengi na ni rahisi kushawishika na vitu ambavyo si rahisi kuwapata wanaume.
Vile vile Kamalla ni Mmarekani mwenye asili ya nje ambapo katika Marekani idadi ya watu hao ni wengi sana.Waliotokea Afrika,America kusini,China na bara hindi.Wote hao ni wapiga kura wake.
Wapiga kura waislamu japo sio wengi lakini wote pamoja na matatizo ya viongozi wa Democratic akiwemo raisi wa sasa Biden kujipendekeza kwa mayahudi,pamoja na hivyo Trump anaonekana ni hatari zaidi kwao kuliko Kamalla.
Tukija upande wa Kamalla ambaye ana asilimia kubwa za kushinda.Jee atauweza uraisi huo wakati taifa hilo liko kwenye hali mbaya za kiuchumi na liko mbioni kuzama .Uadui na mataifa makubwa kama Urusi na China pamoja na vita vya Gaza ni majukumu ambayo huwa ni mazito kwa raisi mwanamke.
Kwa namna yoyote ile kinachoendelea kwa Marekani kwa sasa ni tope ambalo hatimaye litaizamisha na kuwa nafuu kwa dunia nzima baada ya taifa hilo kufanya jeuri na kufuru kwa muda mrefu duniani.
Unamjua Trump vizuri? Alipigwa za uso Hillary Clinto mwenye ushawishi mkubwa ndiyo itakuwa huyo Mhindi/Mjamaica?
 
Kuna uwezekano hujui mfumo wa uchaguzi wa USA. Jifunze uelewe kuliko Kukulupuka. Mfumo wao ni Bora Sana Ukielewa. Tena Bora Sana
Bora china wanamfumo imara wakumpata rais wao maana hawahangaishi na kudanganya raia wao kama wanaofanya hao waongo waongo marekani

Marekani hakuna demokrasia
 
Mkuu hongereni kwa mjadala huu, nimekuwa msomaji wa baadhi ya threads na mara kadhaa kwenye issue za siasa huwa naona upo active.

Nina swali ila linaweza kuwa nje ya discussion (hayo mengine sipo interested sana hususani watu kuchagua sides, napenda tu kupitia pitia)

Hivi ni kwanini unawachukia sana US? Ni mara kadhaa nimeona unawapiga vita sana na kuonyesha hasira kwa mtu yeyote ambaye anazungumzia ishu yoyote chanya kuhusu US as compared to Russia?

Reason behind ni ipi?

Hii sio personal mkuu, natamani kujua huenda kuna kitu nitajifunza
 
Nyie watu ni wajinga kweli!

Na hata hamuelewi electoral college ni kitu gani na electors wanapatikanaje.

Kwa ufupi, ingawa sidhani kama una uwezo wa kiakili wa kuelewa, ni kwamba, mgombea anayeshinda popular vote ya jimbo, hao electors wa jimbo wanakuwa wa kwake pia.

Mfumo uko hivyo nchi nzima ukiacha baadhi ya congressional districts katika majimbo ya Nebraska na Maine.

Mgombea hawezi kupata hao electors bila ya kushinda popular vote ya jimbo.

Na hao electors wakikutana ni lazima waakisi matokeo ya kura ya majimbo wanayoyawakilisha.

Najua hii ni rocket science kwa wengi wenu. Hivyo sitarajii uelewe hiki nilichokiandika.

Nevertheless, it’s worth a try.
Mnatumia nguvu kuuubwa kutetea usanii wa kura unaoendelea marekani yaani

Kwanini hayo majimbo uloyataja yapewe status kuliko mengine

Nakwanini kura za wananchi pekee zisitoshe kuamua nani awe nanani asiwe rais

Kama wao wameamua wajumbe walowapa jina la electrol waamue nani awe rais kwanini wanawaita uchina madikteta

Marekani hakuna demokrasia kuna usanii tuui

Watanzania hua wanalalamika sana ila nakuhakikishia bora tanzania kuna demokrasia kuliko marekani
 
Mkuu hongereni kwa mjadala huu, nimekuwa msomaji wa baadhi ya threads na mara kadhaa kwenye issue za siasa huwa naona upo active.

Nina swali ila linaweza kuwa nje ya discussion (hayo mengine sipo interested sana hususani watu kuchagua sides, napenda tu kupitia pitia)

Hivi ni kwanini unawachukia sana US? Ni mara kadhaa nimeona unawapiga vita sana na kuonyesha hasira kwa mtu yeyote ambaye anazungumzia ishu yoyote chanya kuhusu US as compared to Russia?

Reason behind ni ipi?

Hii sio personal mkuu, natamani kujua huenda kuna kitu nitajifunza
Nashukuru mkuu ila utanisamehe asee muda huu ndio nimeona reply yako jf wamekua na system ya kijinga kuhusiana na reply

Ila sio kwamba nawachukia saana US nakuwapenda saana RUSSIA hapana hata kidogo

US siipendi sababu kuu kwakua nimeona reply nikitulia ntakujibu kiongozi kuna kajambo hapa namalizia
 
Webabu ni lini Irani itavulumisha mvua ya makombola kwenda Israel?
Iran itakua wamepewa hongo ya kuondolewa vikwazo na israel kuamuriwa kutoka palestine, maana marekani hakutaka vurugu ziwe kubwa mashariki ya Kati,rais wa Iran kishazungumzia kufufua mazungumzo ya nuclear
 
Back
Top Bottom