Trump hatashinda japo na Kamala Harris hatauweza urais wa Marekani kipindi ambapo taifa hilo linadidimia

Tanzania nako huo wimbo hakuna udini upo na papo hapo udini mara nyingi unatumika kuamua uchaguzi.
Kwa mfano huo na Marekani pia athari za dini zinatumika kuamua raisi.
Kuna muislamu mmoja anazungumza kama chiriku mfano wa Obama anaitwa Louis Farakhan.Huyu akisimama kutaka uraisi basi kwanza atawekwa pembeni kwa dini yake.
 
Madrasa sehemu muhimu sana kijana ila hujui tuuu

Karibu nikupige somo kijana uwe muislam kwanza
Takwimu za mwanzo ziliwekwa na swahaba Omar bin Khattab ra na hata namba zinazotumika kufanyia takwimo zote zimetokana na waislamu.Hakuna mzungu hata mmoja aliyehusika.Wazungu na wakristo wameanza kuzisoma baada ya papa kwenda madrasa kule Morocco.
 
Nafikiri wewe una matatizo mawili yanayokusumbua:-

1. Ujinga (Ignorance): kwamba hujui mfumo wa uchaguzi wa Marekani ulivyo.

2. Udini: kwamba ile kasumba ya kusujudia utamaduni wa kiarabu unakufanya uwe na msimamo huo ulionao kwa Marekani.

Lakini ukweli unabakia palepale kwamba hakuna uchaguzi duniani unaoheshimika kama uchaguzi wa Marekani na ndio tukio la pili linalotizamwa na watu wengi duniani baada ya kombe la dunia la kabumbu na hilo halina ubishi.

Huu mfumo wa uchaguzi tayari umeshadumu kwa zaidi ya karne mbili na uliwekwa ili rais aonekane kukubalika na watu wengi ktk kila jimbo na ndio maana mgombea anayeshinda kwa kupata kura nyingi katika jimbo basi huchukua Electoral College Votes zote za jimbo husika.

Kama utakuwa hujaelewa basi ni kwa sababu hizo hizo nilizo zitaja hapo juu 🖕
 
Madrasa sehemu muhimu sana kijana ila hujui tuuu

Karibu nikupige somo kijana uwe muislam kwanza
Mimi siwezi kufuata utamaduni wa kiarabu kwa kisingizio cha dini ngoja wajinga mfuate.
 
Takwimu za mwanzo ziliwekwa na swahaba Omar bin Khattab ra na hata namba zinazotumika kufanyia takwimo zote zimetokana na waislamu.Hakuna mzungu hata mmoja aliyehusika.Wazungu na wakristo wameanza kuzisoma baada ya papa kwenda madrasa kule Morocco.
Kitu ambacho hujui ni kwamba hizo tarakimu zilikuja wakati hakuna aliyejua kama huo uislam utakuja kuwepo.
 
Lazima ufahamu kwamba Marekani ili uwe rais lazima ukubali kuitetea taifa la Israel na nje ya hapo wala usihangaike utakuwa unafukuza upepo tu.
 
Kwa hiyo trump aliposhinda uraisi alikuwa na popular vote nyingi kushinda Hillary Clinton?

Halafu punguza ujuaji wewe humiliki taarifa. Kichaa mkubwa ww
 
Kwa hiyo trump aliposhinda uraisi alikuwa na popular vote nyingi kushinda Hillary Clinton?

Halafu punguza ujuaji wewe humiliki taarifa. Kichaa mkubwa ww
Kuna tofauti kati ya national popular vote na state popular vote.

State popular vote ndo inayo determine mshindi wa hizo electoral college votes za state.

Kila state ina idadi tofauti ya electoral votes.

Naona hujui kabisa unachokiongelea hapa. Ndo maana umeshupaza shingo.
 
Sa
Sasa shida IPO kwako, kama nilivyoandika mara ya kwanza popular vote haziamui nani awe raisi wa marekani,

Kama unabisha ingia wikipedia ujionee takwimu.

Acha kudhani kuwa wewe unahodhi taarifa.
 
Sa

Sasa shida IPO kwako, kama nilivyoandika mara ya kwanza popular vote haziamui nani awe raisi wa marekani,

Kama unabisha ingia wikipedia ujionee takwimu.

Acha kudhani kuwa wewe unahodhi taarifa.
Nimekwambia kuna tofauti ya national popular vote na state popular vote.

State popular vote ndo ina determine kiasi cha electoral college votes ambazo mgombea anapata.

Wewe hujui kabisa unachokiongelea.

National popular vote haiamui mshindi wa urais Marekani.
 
Chambuzi mahiri toka pande za Ikwriri akichambua siasa za marekani na uchumi wa marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…