Jimbo la California pekee lina uchumi mkubwa kuliko uchumi wote wa RussiaUchumi wa marekani hauwezi kua mzuri au imara kwakudanganya watu kua uchumi wa russia ndio mbaya kijana
Badala yake ilitakiwa utoe takwimu za uzuri za uchumi wa Americants na ubaya wa uchumi wa Russia tulinganishe
Inategemea na Taasisi ya urais atakayoitengeneza.Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya kihuni na kupenda ubaguzi pamoja na uadui kwa waislamu hautamuwezesha Donald Trump kurudia kwenye kiti cha uraisi.Wamarekani wanaompinga wakiwemo wa rangi mbali mbali na wahamiajia hawatampigia kura kabisa.
Trump atabaki na kundi la wabaguzi wa rangi ambao hawatotosha kumpatia kura za uraisi.
Kwa maana hiyo Kamalla Harris ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti hicho,kwanza kwa vile ni mwanamke na enzi hizi wanawake ni wengi sana kwenye chaguzi za mataifa mengi na ni rahisi kushawishika na vitu ambavyo si rahisi kuwapata wanaume.
Vile vile Kamalla ni Mmarekani mwenye asili ya nje ambapo katika Marekani idadi ya watu hao ni wengi sana.Waliotokea Afrika,America kusini,China na bara hindi.Wote hao ni wapiga kura wake.
Wapiga kura waislamu japo sio wengi lakini wote pamoja na matatizo ya viongozi wa Democratic akiwemo raisi wa sasa Biden kujipendekeza kwa mayahudi,pamoja na hivyo Trump anaonekana ni hatari zaidi kwao kuliko Kamalla.
Tukija upande wa Kamalla ambaye ana asilimia kubwa za kushinda.Jee atauweza uraisi huo wakati taifa hilo liko kwenye hali mbaya za kiuchumi na liko mbioni kuzama .Uadui na mataifa makubwa kama Urusi na China pamoja na vita vya Gaza ni majukumu ambayo huwa ni mazito kwa raisi mwanamke.
Kwa namna yoyote ile kinachoendelea kwa Marekani kwa sasa ni tope ambalo hatimaye litaizamisha na kuwa nafuu kwa dunia nzima baada ya taifa hilo kufanya jeuri na kufuru kwa muda mrefu duniani.
Kwani wewe ulipo ni nukuu hukusoma nilichoandika na kuelewa?Nimekwambia kuna tofauti ya national popular vote na state popular vote.
State popular vote ndo ina determine kiasi cha electoral college votes ambazo mgombea anapata.
Wewe hujui kabisa unachokiongelea.
National popular vote haiamui mshindi wa urais Marekani.
Mgombea anazipataje hizo electoral votes?Kwani wewe ulipo ni nukuu hukusoma nilichoandika na kuelewa?
Haya nakupatia link ujisomee
What is the US electoral college, and how does it work? - BBC News
The candidate who wins the most electoral college votes across the US becomes president.www.bbc.com
Hapo wanasisitiza kuwa electoral college votes ndo zinaamua nani awe raisi wa marekani.
Wewe ni shoga?
Soma post yangu namba #30 na yako namba #31 Kisha ujitafakariMgombea anazipataje hizo electoral votes?
Mfano, ili mgombea aweze kuziptata electoral votes 19 za PA, inabidi afanyeje?
Ila chaajabu zaidi Russia ipo kwenye G20 ila california haipo😀Jimbo la California pekee lina uchumi mkubwa kuliko uchumi wote wa Russia
Wewe mtoa mada kwanza uandishi wako ni wa ngumbaru, yaonekana hata D 2 huna. Huo uwezo wa kuchambua politics za USA utaupata wapi. Hujui wapi uweke full stop, jina la Kamala Harris unalikoseaBaada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya kihuni na kupenda ubaguzi pamoja na uadui kwa waislamu hautamuwezesha Donald Trump kurudia kwenye kiti cha uraisi.Wamarekani wanaompinga wakiwemo wa rangi mbali mbali na wahamiajia hawatampigia kura kabisa.
Trump atabaki na kundi la wabaguzi wa rangi ambao hawatotosha kumpatia kura za uraisi.
Kwa maana hiyo Kamalla Harris ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti hicho,kwanza kwa vile ni mwanamke na enzi hizi wanawake ni wengi sana kwenye chaguzi za mataifa mengi na ni rahisi kushawishika na vitu ambavyo si rahisi kuwapata wanaume.
Vile vile Kamalla ni Mmarekani mwenye asili ya nje ambapo katika Marekani idadi ya watu hao ni wengi sana.Waliotokea Afrika,America kusini,China na bara hindi.Wote hao ni wapiga kura wake.
Wapiga kura waislamu japo sio wengi lakini wote pamoja na matatizo ya viongozi wa Democratic akiwemo raisi wa sasa Biden kujipendekeza kwa mayahudi,pamoja na hivyo Trump anaonekana ni hatari zaidi kwao kuliko Kamalla.
Tukija upande wa Kamalla ambaye ana asilimia kubwa za kushinda.Jee atauweza uraisi huo wakati taifa hilo liko kwenye hali mbaya za kiuchumi na liko mbioni kuzama .Uadui na mataifa makubwa kama Urusi na China pamoja na vita vya Gaza ni majukumu ambayo huwa ni mazito kwa raisi mwanamke.
Kwa namna yoyote ile kinachoendelea kwa Marekani kwa sasa ni tope ambalo hatimaye litaizamisha na kuwa nafuu kwa dunia nzima baada ya taifa hilo kufanya jeuri na kufuru kwa muda mrefu duniani.
Ukiwaambia marekani hakuna demokrasia wanayoihubiri hapa wanapingaSoma post yangu namba #30 na yako namba #31 Kisha ujitafakari
Mimi sitaki kujua hao watu wachache wanaoamua nani awe raisi wa marekani
Nilitaka kumjuza Mtoa mada kuwa popular vote haziamui nani awe raisi wa marekani,
Trump alishinda uraisi kwa electoral votes dhidi Hillary Clinton.
What is the US electoral college, and how does it work? - BBC News
The candidate who wins the most electoral college votes across the US becomes president.www.bbc.com
Nilikutumia hii link sidhani kama umesoma manguli walichojadili
Punguza majivuno na kujiona unamiliki taarifa.
Electrol zanini wakati wananchi ambao ndio wanaojiita wapigania demokrasia husema kua ndio waamuzi walishachaguaMgombea anazipataje hizo electoral votes?
Mfano, ili mgombea aweze kuziptata electoral votes 19 za PA, inabidi afanyeje?
Ndio mlivyodanganya hivi kulikua na empire ilokua inapenda kuporomoka ambayo haikueka system nzurimarekani kulingana na systeam yao ilivyo jengeka katika nyanja ya uongozi hasa uraisi hata ukiweka sahani au jiwe kuwa raisi nchi hiyo itaongozeka kama kawaida yule sio mama wa wakuupiga mwingi shule iko pale mkuu na viongozi wa staafu pia wako pamoja na kamala so nchi itasonga vizuri we tafuta visa ukaishuhudie marekani ya kamala
Unamjua Trump vizuri? Alipigwa za uso Hillary Clinto mwenye ushawishi mkubwa ndiyo itakuwa huyo Mhindi/Mjamaica?Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya kihuni na kupenda ubaguzi pamoja na uadui kwa waislamu hautamuwezesha Donald Trump kurudia kwenye kiti cha uraisi.Wamarekani wanaompinga wakiwemo wa rangi mbali mbali na wahamiajia hawatampigia kura kabisa.
Trump atabaki na kundi la wabaguzi wa rangi ambao hawatotosha kumpatia kura za uraisi.
Kwa maana hiyo Kamalla Harris ndiye atakayekuwa mshindi wa kiti hicho,kwanza kwa vile ni mwanamke na enzi hizi wanawake ni wengi sana kwenye chaguzi za mataifa mengi na ni rahisi kushawishika na vitu ambavyo si rahisi kuwapata wanaume.
Vile vile Kamalla ni Mmarekani mwenye asili ya nje ambapo katika Marekani idadi ya watu hao ni wengi sana.Waliotokea Afrika,America kusini,China na bara hindi.Wote hao ni wapiga kura wake.
Wapiga kura waislamu japo sio wengi lakini wote pamoja na matatizo ya viongozi wa Democratic akiwemo raisi wa sasa Biden kujipendekeza kwa mayahudi,pamoja na hivyo Trump anaonekana ni hatari zaidi kwao kuliko Kamalla.
Tukija upande wa Kamalla ambaye ana asilimia kubwa za kushinda.Jee atauweza uraisi huo wakati taifa hilo liko kwenye hali mbaya za kiuchumi na liko mbioni kuzama .Uadui na mataifa makubwa kama Urusi na China pamoja na vita vya Gaza ni majukumu ambayo huwa ni mazito kwa raisi mwanamke.
Kwa namna yoyote ile kinachoendelea kwa Marekani kwa sasa ni tope ambalo hatimaye litaizamisha na kuwa nafuu kwa dunia nzima baada ya taifa hilo kufanya jeuri na kufuru kwa muda mrefu duniani.
Bora china wanamfumo imara wakumpata rais wao maana hawahangaishi na kudanganya raia wao kama wanaofanya hao waongo waongo marekaniKuna uwezekano hujui mfumo wa uchaguzi wa USA. Jifunze uelewe kuliko Kukulupuka. Mfumo wao ni Bora Sana Ukielewa. Tena Bora Sana
Mkuu hongereni kwa mjadala huu, nimekuwa msomaji wa baadhi ya threads na mara kadhaa kwenye issue za siasa huwa naona upo active.Bora china wanamfumo imara wakumpata rais wao maana hawahangaishi na kudanganya raia wao kama wanaofanya hao waongo waongo marekani
Marekani hakuna demokrasia
Mnatumia nguvu kuuubwa kutetea usanii wa kura unaoendelea marekani yaaniNyie watu ni wajinga kweli!
Na hata hamuelewi electoral college ni kitu gani na electors wanapatikanaje.
Kwa ufupi, ingawa sidhani kama una uwezo wa kiakili wa kuelewa, ni kwamba, mgombea anayeshinda popular vote ya jimbo, hao electors wa jimbo wanakuwa wa kwake pia.
Mfumo uko hivyo nchi nzima ukiacha baadhi ya congressional districts katika majimbo ya Nebraska na Maine.
Mgombea hawezi kupata hao electors bila ya kushinda popular vote ya jimbo.
Na hao electors wakikutana ni lazima waakisi matokeo ya kura ya majimbo wanayoyawakilisha.
Najua hii ni rocket science kwa wengi wenu. Hivyo sitarajii uelewe hiki nilichokiandika.
Nevertheless, it’s worth a try.
Hapana, nadhani ni wewe unayeuzungumzia utakuwa mbobezi.kwani wewe ni shoga ??
Nashukuru mkuu ila utanisamehe asee muda huu ndio nimeona reply yako jf wamekua na system ya kijinga kuhusiana na replyMkuu hongereni kwa mjadala huu, nimekuwa msomaji wa baadhi ya threads na mara kadhaa kwenye issue za siasa huwa naona upo active.
Nina swali ila linaweza kuwa nje ya discussion (hayo mengine sipo interested sana hususani watu kuchagua sides, napenda tu kupitia pitia)
Hivi ni kwanini unawachukia sana US? Ni mara kadhaa nimeona unawapiga vita sana na kuonyesha hasira kwa mtu yeyote ambaye anazungumzia ishu yoyote chanya kuhusu US as compared to Russia?
Reason behind ni ipi?
Hii sio personal mkuu, natamani kujua huenda kuna kitu nitajifunza
Baada ya uchaguzi marekani mambo yatakua tofauti sana huko kea hamas,kamala anang'atang'ata maneno,ila akipita ni maumivu kwa israelHamas umewashiti?USA hauiwezi.
Iran itakua wamepewa hongo ya kuondolewa vikwazo na israel kuamuriwa kutoka palestine, maana marekani hakutaka vurugu ziwe kubwa mashariki ya Kati,rais wa Iran kishazungumzia kufufua mazungumzo ya nuclearWebabu ni lini Irani itavulumisha mvua ya makombola kwenda Israel?