Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Lakini Unahisi IRAN Kuzidiwa Na US Kazidiwa Jana Naleo ?!Modern war is about highly sophisticated equipments/weapons kitu ambacho US kamzidi Iran by far
Sent using Jamii Forums mobile app
Vietnam war mmarekani alikuwa na kila kitu ila ilichokipata hawatasahauModern war is about highly sophisticated equipments/weapons kitu ambacho US kamzidi Iran by far
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote mtu muoga atahakikisha anatamba na kujitangaza ana uwezo, juzi trump kaja na mbwembwe za kuwa anatumia trillion 2 kwenye vifaa vya jeshi (who cares?)
Leo kaja na mbwembwe ingine Iran hana silaha za nuclear.
Hizi ni dalili za mtu muoga na mwenye wasi wasi.
Trump unateseka? Mbona Trump anaogopa sana Iran?
Kaa mkao wa kula Iran si mtu wa kuchezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump kapaniki,Netanyahu anamruka,msaidizi wa waziri was ulinzi wa marekani kajiuzulu,dhamira inamsuta kuwa wamebugi kumuua jamaa,wameona mamilioni ya watu wanavyoombeleza wanasikia moyoni kunawasuta,na Happ kichapo Bado,
View attachment 1314344
USA constitution raisi wa USA anauwezo wa kulipua nchi yoyote kama inatishiwa .Trump kapaniki,Netanyahu anamruka,msaidizi wa waziri was ulinzi wa marekani kajiuzulu,dhamira inamsuta kuwa wamebugi kumuua jamaa,wameona mamilioni ya watu wanavyoombeleza wanasikia moyoni kunawasuta,na Happ kichapo Bado,
View attachment 1314344
Saivi hakuna gorilla war ni mitambo tuVietnam war mmarekani alikuwa na kila kitu ila ilichokipata hawatasahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya jamaa tusubiri maana naamini 99% Iran hatathubutu huu ujinga anaojiapiza saivi.Kweli Kabisa Lakini Unahisi IRAN Kuzidiwa Na US Kazidiwa Jana Naleo ?!
IRAN Toka Mwaka 1979 Alizidiwa Na US Tena Kuanzia Miaka Hio Ndio Alizidiwa Mbali Mnoo Ukilinganisha Nasasa
Ngojeeni Kisasi Wakuu Acheni Porojo Damu Ya Soleiman Haitapita BURE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani kaongeza vikosi wew unakuja na press releases za Msigwa? [emoji23][emoji23][emoji23]US kuondoa majeshi Iraq
View attachment 1314377
Siku zote mtu muoga atahakikisha anatamba na kujitangaza ana uwezo, juzi trump kaja na mbwembwe za kuwa anatumia trillion 2 kwenye vifaa vya jeshi (who cares?)
Leo kaja na mbwembwe ingine Iran hana silaha za nuclear.
Hizi ni dalili za mtu muoga na mwenye wasi wasi.
Trump unateseka? Mbona Trump anaogopa sana Iran?
Kaa mkao wa kula Iran si mtu wa kuchezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump kapaniki,Netanyahu anamruka,msaidizi wa waziri was ulinzi wa marekani kajiuzulu,dhamira inamsuta kuwa wamebugi kumuua jamaa,wameona mamilioni ya watu wanavyoombeleza wanasikia moyoni kunawasuta,na Happ kichapo Bado,
View attachment 1314344
US kuondoa majeshi Iraq
View attachment 1314377
Hizo kambi za marekani unazo zionesha vita ikianza zitageuka vifusi ndani ya muda mfupi Sana.
Naona waziri wa ulizi wa Marekani katia ngumu kuwa vikosi visitoke
==
‘Not leaving Iraq!’ Pentagon clarifies ‘poorly worded’ US withdrawal plan sent by ‘mistake’
Confusion reigned at the Pentagon after the publication of a letter about withdrawal from Iraq, with the top general describing it as a “mistake” and the defense secretary saying there were no plans for a US pullout.www.rt.com
Kwan IRAN Kajiapiza Nn Mkuu ?!Haya jamaa tusubiri maana naamini 99% Iran hatathubutu huu ujinga anaojiapiza saivi.
Nakumbuka SADAM alijiapizaga kama Gadafi wapo wapi saii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha unataka Iran apewe sababu gani sasa ya kuingia vitani , watu wamemuua general kabisa mwenye ushawishi mkubwa tena bila sababu ya msingi, wamevunja sheria za kimataifa na kuwagusa pabaya na tena wakajitangaza na kujitapa kuwa wao ndio wamemuua sasa unataka nini tena ili uingie vitani kama anajiweza apige hata us base moja wapo happy middle East tuone mtanange wa mtu anavyochakazwa 😃😃😃😃😃[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwan IRAN Kajiapiza Nn Mkuu ?!
Ila Kuhusiana Na Swala Lakisasi Lazma Kilipwe Ila Hakitalipwa Kama Unavyotaka Ama Kukusudia Wewe
Maana najua wewe unataka IRAN Ashambulie Eidha Kambi Yakijeshi Moja Wapo Ya US Hapo Mashariki Yakati Ama Ashambulie Pengine Carrier Yake
Ila Kisasi Kitalipwa Katika Njia Ambayo C Wewe Mimi Wala US Wenye Wametarajia Ila Watalipwaa...
Sent using Jamii Forums mobile app