Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

Iraq yote Askari wa marekani hawafiki 10,000 Kama hufahamu,
Middle East yote hawafiki 100,000

Check hilo biti halafu unambie wanaondokaje hapo Iraq wanauwezo wa kulipa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu wanadai na wmeshaambiwa waondoke ama wataondelewa,Sasa we Vita subira utakuja niambia Hapa.
 

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Hakuna kitu wanadai na wmeshaambiwa waondoke ama wataondelewa,Sasa we Vita subira utakuja niambia Hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app


B52 sita zishaamsha kwenda mashariki ya kati
 
JERUSALEM: In an apparent slip of the tongue on Sunday (Jan 5), Prime Minister Benjamin Netanyahu described Israel as a nuclear power before correcting himself with a bashful nod and an embarrassed smile.

Israel is widely believed to have an atomic arsenal but has never confirmed or denied that it has nuclear weapons, maintaining a so-called policy of ambiguity on the issue for decades.


Netanyahu stumbled at the weekly Cabinet meeting while reading in Hebrew prepared remarks on a deal with Greece and Cyprus on a subsea gas pipeline.

"The significance of this project is that we are turning Israel into a nuclear power," he said, before quickly correcting himself to say "energy power".

He then paused for a beat, acknowledging his mistake with a smile, and then ploughed on with his comments.


BIBI: kajitelezesha ulimi kwamba "Israel now is a nuclear power"
Baadae kakanusha ila lengo ni kufikisha ujumbe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bana unaongea Kama msemaji wa Iran vituko tupu. Yani US Mwenye vyombo lukuki vya uchunguzi ndo unabishana nao hapa na hayo maoni yako!
Huyo Generali watu aliowaua wao ndo hawakuomboleza eti?
Kwanini maombolezo ya kifo chake yawe ishu kuliko maombolezo ya watu aliohusika na vifo vyao mpaka Sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damu aliowaua huyu Suleiman ndo ilienda bure eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan kwenye mkataba wao kuna kulipana utajengaje nyumba kwenye kiwanja ambacho sio cha kwako.
 
Soma link ya mwanzo ndo utajua barua aliyoandika mkuu wa kituo cha Iraq ilikataliwa jamaa wakasema wabaki na askari 3,000 wapo njiani kwenda kuongeza nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamchanganya PM wa Iraq makusudi,hiyo screen short Hapo juu inaeleza wazi waziri kapokea barua mkononi then anashangaa wanaruka kupitia media kuwa hiyo barua imevuja kimakosa
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2] Kwan Wakat DRONE Ya US Ikiripuliwa Ikiwa Katika Anga Zakimataifa Na IRAN Ikakiri US Ilichukua Hatua Gani [emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14]

Nalile Lilikua Tangazo Lawazi Lavita

Huko Kuvamiwa Ubalozi Wa US Pia Likikua Tangazo Lavita DHIDI Ya IRAN

Kisasi Kulipwa Nilazima Tu Mkae Mkijua

US = PAPER TIGER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Press release ilikuwa halisi,Seema wamarekani wanajaribu kuwaconfuse Iraq,,hata hivyo command centre ya coalition force inayoongozwa na marekani nchini irag imehamishiw Kuwait kwa mda
Wangekaa 2 asee ila hata wahamie MBINGUNI Kisasi Lazma Kilipwe Yaani Kisasi Lazma Kama Kufa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unajisahaulisha hawajahama wapo palepale, mkuu wa brigade alitaka kuhama Order ikatoka hakuna kuhama. So wapo na saivi B52 4 nne zimeenda kuongeza nguvu Mi.east

Sent using Jamii Forums mobile app
Kale kanjiwa kao kalipo 2nguliwa walipeleka wanajeshi zaidi ya BUKU Mpaka Sasa Kimyaaa


US = PAPER TIGER..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…