Trump: Iran, Israel zinahitaji 'kupigana' kabla ya kupatana

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano, lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.

Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuelekea Canada katika mkutano wa nchi 7 tajiri kiviwanda za G7, Trump alisema kwamba anafikiri umefika muda kwa nchi hizo mbili kufikia makubaliano, lakini wakati mwingine zinapaswa kupigana kwanza na kuongeza kuwa wataona kitakachofuata.

Trump alikataa kujibu swali iwapo aliitaka Israel kusitisha mashambulizi ya anga dhidi ya Iran. Hapo awali, afisa mmoja mwandamizi wa Marekani aliliambia shirika la habari la AFP kwamba Trump alipinga mpango wa Israel wa kumuua kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei.

Mashambulizikati ya nchi hizo mbili yamezusha hofu ya mzozo mkubwa ambao unaweza kulikumba eneo zima la Mashariki ya Kati.
 
Vita huleta heshima wacha wanyooshane kidogo
Screenshot_20220826-220232_102648.png
 
Leo ndiyo nimeamini Jamii Forum ina upendeleo halafu na zile vitabia vya kitanzania vya kuendekeza connections mpaka Jamii Forum. Hii habari na mimi niliileta na mimi mchana tena kwa source ya DW Swahili lakini ikaunganishwa kwenye thread ya mzozo wa Israel na Iran.

Hakika nimevunjika moyo kwa sababu siyo mara ya kwanza moderators kuhujumu watu wasio na majina. Sijui wanataka habari iletwe na fulani.

Sasa nimegoma sintopost wala kuchangia chochote Jamii Forum kwa muda mrefu. Endeleeni kupeana connectiona hadi za thread!
 
Back
Top Bottom