Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Masharti ni haya yafuatayo
1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran
2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha)
3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran
4 Waondoe sunction ya baharini
5 HORMUZ itafunguliwe baada siku 60 kwa kuwasiliana na Iran
6 Waijenge Iran kwa pesa wamekadiria kuwa 300 Billion hapo ni Gulf states na USA ndio watajenga kwa pesa zao
7 Iran atakubali kuwacha kumiliki Nuclear Boom na hio tokea wakati wa Obama walikubali lakini ataendelea kuwa na Nuclear ya peaceful
8 America katika kipindi hichi cha mazungumzo asiongeze jeshi lake pale Hormuz wala asifanye sunction ya aina yoyote ile
9 Pesa zote za Iran waziwachie katika kipindi cha siku 60 na nusu waziwachilie kabla ya mazungumzo hayo ya siku 60 na kuondoa sunction zote za mafuta ya Iran
10 Hakuna kugusa point ya aina yoyote kuhusu Missiles za Iran
11 Hormuz ni haki ya Iran kufanya ambacho anataka ku charge au kuruhusu wspite bure
Kuna Point 14 nime quote hizo 11 ki ujumla point zote zinampa ushindi Iran
View: https://youtu.be/Hd_oV3fR_ps?si=Dq8urYU-EQzdns5Q