Trump Kainua Bendera Nyeupe Kama Kweli Kakubali Masharti Haya ya Iran

Swali lipi wewe dogo wewe unadai mimi sio mu Irani je wewe ni Myahudi? Au Mmarekani mbona huwa unashangilia vita wakianzisha sa ni kosa kuishangilia Iran. Nendeni mkatunge bibilia ingine mseme Iran haruhusiwi kuigusa Israel akiigusa itadhurika hahaha Ukanisa ni upagani mtupu
Usisahau wakati mabwana zako wanakuleteeni hiyo dini unayojivunia. Babu zako waliwafanya hivi
 
Attachments

  • gettyimages-1354435099-1024x1024.jpg
    gettyimages-1354435099-1024x1024.jpg
    201 KB · Views: 14
PAMOJA na ukweli kwamba wengi wetu kwenye hili suala tuna upande ila pia tukubali Iran imepoteza Viongozi wazuri sana hasa yule Mzee Ayatollah mwenyewe, Ally Larijan ( Kichwa sana huyu jamaa alikua) Ally Shamkhan nae pia mashine nyine hawa watu wameiathiri sana Iran kwasababu walikua ndio wana maono ya malengo ya nchi hii kwa miaka mingi...

Upande wa pili Marekani anasema mambo mengi na vitisho kibao ila kupigwa amepigwa sana base zake na hata hizo nchi zimewahost zimechakazwa sana hivyo sio tu wao wenyewe wanaona aibu wanaona bora wakimbie hii vita bali pia vibaraka wao waliowahifadhi wanawapa pressure kubwa waache hii vita maana wanapigwa sana na wao kwasababu ya uhusiano wao na Marekani na pia base za US ambazo ziko katika nchi hizo za QATAR,Bahrain, kuwait,UAE , Saudia na Jordan...

Kwa kifupi pamoja na kwamba Iran kapoteza watu sana wa maana na mshika maono akiondoka nchi hizi huyumba mnaona Magufuli alitusaidia sana ( Simanishi hakufanya makosa hasa utekaji ulianzia kwake ) kifo chake kimetuathiri sana hasa huduma za jamii ambazo ziliboreshwa sana leo zimeporomoka kwisha kabisa sio umeme sio barabra sio afya kote ni hoi dhoofli hali...
 
Usisahau wakati mabwana zako wanakuleteeni hiyo dini unayojivunia. Babu zako waliwafanya hivi
Wamiliki wakuu wa biashara ya utumwa ni wazungu. Hao waarabu walikua ni middle men. Trans atlantic slave trade ndio ilikua major slave trade inayomilikiwa na kina Columbus. Walivyoona kumeanza industrial revolution ndio wakaamua kukataza biashara ya utumwa. Unadhani sisi ni wajinga hatujui!?
Kilwa iliendelea kwa namna zote kwa biashara za waajemi na waarabu kabla wareno hawajapabomoa.
 
Kama Una roho wa Mungu na unatangaza dini kwa nini uwe middle man umuuze binadamu mwenzako kama nyanya?
 
Waliofanya hivyo ni waarabu wote!? Kisa cha waarabu wachache ndio ujumuishe kwa wote!?
Mbona humzungumzii Said bin Salim aliyeuawa Tanga na wajerumani kisa kuitetea Tanga kipindi cha ukoloni??
Mbona huwazungumzii waarabu walioiendeleza Kilwa kwa biashara kabla wareno kuvamia!??

Wakatoliki na mapentekosti walianzisha harakati za kimishenari ili kupata mali na kuanzisha ukoloni au umesahau hilo nikutajie majina!??
Je hao ndio wema?
 
Hata wewe unatumia justification ya wazungu wachache kuattack Christianity as religion
Unadhani kipindi hao wamishonari wanakuja huku wazungu wenzao wa kawaida uropa walikuwa wanajua?
 
Nitajie wazungu wakawaida waliokuja huku kusambaza ukristo kiamani kabla ya wamishonari wa kikoloni!??
Nitajie kama vile waarabu wa kawaida kina Said bin Salim walivyofika Tanga na kuinufaisha Tanga!? Nitajie wazungu hapa.
 
Acha ulofa mwarabu wa kawaida anapandaje jahazi kwenda mbali na kwao? Yaani ni sawa na mama ntilie apande meli kwenda bara lingine akatafute maisha
 
Lofa mimi au wewe. Said bin Salim mbona alitoka Oman na akaja Tanga zigua alianzisha makazi na biashara na kuwa kiongozi wa zigua na hakuuza mtumwa wala kufanya watu watumwa!??
Vipi waarabu na waajemi walioiendeleza Kilwa??
Mpumbavu akikosa hoja ban.
 
Back
Top Bottom