Trump Kainua Bendera Nyeupe Kama Kweli Kakubali Masharti Haya ya Iran

Trump Kainua Bendera Nyeupe Kama Kweli Kakubali Masharti Haya ya Iran

Haya masharti ni ya kwako au ya Iran!
 
Shule ipi dogo waliokufundisha hayo? Acha mhemko dogoo.

View: https://youtu.be/UI4sBKbnucg?si=vgA7cYmNBWrEPQKE

Kopigo cha juzi Iran kupiga 18 target haswa ndege za F35, F15 na F16 kule Jordan na Radar pale Baharain na zile 2 Navy ships Trump akaona hiyo bado Iran anadai ni chai na keki tu ya breakfast akambiwa ukigusa Iran tena tutapiga lunch kabisa hahaha kibabu kikaogopa sababu hana budi akubali tu masharti ya Iran
 
Kwa idadi ya targets alizopiga Iran ndani ya Israel ulizoleta hapa toka hii vita ianze kale kataifa maskini kangekuwa kameshaisha maana hakana hata eneo 🤣🤣 cha ajabu bado kanagawa dozi Kwa wastani huku na huku (Lebanon na Kwa basha wake) sasa najiuliza kanawapigia kutokea wapi?
Katika waongo wakubwa humu JF Una kombe lako bro.
 
Wewe ni kenge hivi unadhani Israel harushi ndege zake kutoka Cyprus, UAE na Azerbaijan pia USA hawezi kupiga Lebanon wakasema ndege za Israel.

Wewe hujui Israel time ya mwisho kushambulia Iran katumia Jordan Airspace kupiga Iran hawezi kugusa hata USA anatumia Kuwait na UAE na Jordan kupiga Iran pia walikuwa na base ya Siri Iraq hao wa Israel sijui lini utakuwa na akili ukafikiria kiakili.
 
Acha propaganda bana ndugu dunia imebadirika habari kama iyo ingekuwepo kila mtu mfuatiliaji angeipata

Akuna habari kama iyo na hakuna masharti kama hayo km iyo habari umeipata msikitini kwenu ulipoenda kuswali bas sawa
Hiyo habari imetangazwa kote na hapo jamaa kakuwekea chanzo unaipinga.
 
You wait and see
Kama ingekua hivyo basi Iran ingeshaanguka. Maana Marekani hajaanza kupiga Iran leo. Alianza tangu 1980 hadi leo hii useme bado tu hajapata mwanya wa kuiangusha!?
 
Kama ingekua hivyo basi Iran ingeshaanguka. Maana Marekani hajaanza kupiga Iran leo. Alianza tangu 1980 hadi leo hii useme bado tu hajapata mwanya wa kuiangusha!?
Ndicho kitu nasema! US anatafuta upenyo na ipo siku ataupata ili Kiu yake iwe quenched
 
Masharti ni haya yafuatayo

1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran

2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha)

3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran

4 Waondoe sunction ya baharini

5 HORMUZ itafunguliwe baada siku 60 kwa kuwasiliana na Iran

6 Waijenge Iran kwa pesa wamekadiria kuwa 300 Billion hapo ni Gulf states na USA ndio watajenga kwa pesa zao

7 Iran atakubali kuwacha kumiliki Nuclear Boom na hio tokea wakati wa Obama walikubali lakini ataendelea kuwa na Nuclear ya peaceful

8 America katika kipindi hichi cha mazungumzo asiongeze jeshi lake pale Hormuz wala asifanye sunction ya aina yoyote ile

9 Pesa zote za Iran waziwachie katika kipindi cha siku 60 na nusu waziwachilie kabla ya mazungumzo hayo ya siku 60 na kuondoa sunction zote za mafuta ya Iran

10 Hakuna kugusa point ya aina yoyote kuhusu Missiles za Iran

11 Hormuz ni haki ya Iran kufanya ambacho anataka ku charge au kuruhusu wspite bure

Kuna Point 14 nime quote hizo 11 ki ujumla point zote zinampa ushindi Iran

View: https://youtu.be/Hd_oV3fR_ps?si=Dq8urYU-EQzdns5Q

Huu ni uwongo mtupu, Trump amesema kuwa kuna uwendawazimu unaofanywa na watawala wa Iran kwa wananchi wao kwa kuwadanganya kile ambacho wameridhia:
1. Kuruhusu uranium iliyorutubishwa kuteketezwa
2. Kutofanya urutubishaji wa uranium tena
3. Kutokuwa na mpango wa kutengeneza au kununua bomu la nuclear
4. Kutoyasaidia makundi ya kigaidi
5. Kutokuweka masharti yoyote kwenye mkondo wa bahari

Trump amesema kuwa hayo ndiyo masharti ambayo Iran imeridhia, lakini Iran imetangaza uwongo kwenye vyombo vya habari vya nchini mwake.
Suala la kuilipa fidia Iran halipo.
Iran ikitekeleza masharti yote kwa ukamilifu, kitakachofuatia ni kuondolewa vikwazo vya kiuchumi. Iran ikikiuka sharti lolote, itarudi kwenye vikwazo.

SKyNews

Trump dismisses 'fake news' reports 'leaked out' by Iran on deal - and makes drone attack claim​

Donald Trump has said terms being reported about a possible US-Iran deal have been leaked to the "fake news" and have "NOTHING to do with the terms that were agreed to".
Viongozi wa Iran wamesema majadiliano na Marekani bado yapo mbali na makubaliano. Kwa hiyo mpaka sasa, hakuna kilichokubaluwa, hivyo hii habari iliyoletwa kudai Marekani imeridhia yaliyotajwa ni uwongo mtupu:

Aljazeera
Simultaneously, Abbas Araghchi shared on X that a final accord to permanently conclude the US-Israel war on Iran has “never been closer.

  • US President Donald Trump reposted the Iranian foreign minister’s statement on his Truth Social platform after earlier blasting Iran for alleged leaks to state media regarding details of the memorandum, calling the reports “fake news”.
 
Sidhani kama Trump atakubali yote hayo, Sidhani.

Habari nzima Trump ametangaza kuwa ni fake news.
Na pia Waziri Agarchi wa Iran amesema kuwa mpaka sasa hakuna kilichokubaliwa. Hayo aliyoyaleta mtoa mada, ambaye anaonekana kuwa ana uwezo mdogo sana wa kufuatilia habari, ni mapendekezo na matakwa ya Iran, lakini hayajakubaliwa na Marekani. Marekani nayo ina mapendekezo yake ambayo bado hayajakubaliwa na Iran.
Ndiyo maana waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema kuwa pande husika bado zipo mbali mbali (not close).
 
Mimi hoja yangu kwako sipo kwenye ukweli wa Iranian au ukweli wa Trump kuusiana na kuondoshwa vikwazo!!!

Kwakuwa wewe umekuwa msemaji au mtetezi wa Trump

Kwamaelezo yako uko juu ktk kumtetea TRUMP kwangu nimebaki na maswali mapya kwako kumuhusu Trump

Trump kwanini hakutimiza ahadi yake ya kuichapa Iran????

Na kumbe hakuna makubaliano yoyote kufikia sasa kati yao??

JE nikweli Jeshi la Marekani limeogopa kutimiza ahadi ya Trump??
 
Wewe ni kenge hivi unadhani Israel harushi ndege zake kutoka Cyprus, UAE na Azerbaijan pia USA hawezi kupiga Lebanon wakasema ndege za Israel.

Wewe hujui Israel time ya mwisho kushambulia Iran katumia Jordan Airspace kupiga Iran hawezi kugusa hata USA anatumia Kuwait na UAE na Jordan kupiga Iran pia walikuwa na base ya Siri Iraq hao wa Israel sijui lini utakuwa na akili ukafikiria kiakili.
Hata swali hujaelewa na kama kawaida yako umekurupuka kujibu...chuki ikizidi kipimo huwa inaondoa ufahamu, umebaki na juzuu ulizohifadhi tu hapo juu ya shingo.
 
Hata swali hujaelewa na kama kawaida yako umekurupuka kujibu...chuki ikizidi kipimo huwa inaondoa ufahamu, umebaki na juzuu ulizohifadhi tu hapo juu ya shingo.
Swali lipi wewe dogo wewe unadai mimi sio mu Irani je wewe ni Myahudi? Au Mmarekani mbona huwa unashangilia vita wakianzisha sa ni kosa kuishangilia Iran. Nendeni mkatunge bibilia ingine mseme Iran haruhusiwi kuigusa Israel akiigusa itadhurika hahaha Ukanisa ni upagani mtupu
 
Back
Top Bottom