Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Aya toa yenu mljadiliana uko Kwenye magroup yenu ya wasap ya TECHakuna masharati yanayopendelea upande mmoja tu bila kuangazia kipi USA kwa upande wake na yeye atanufaika nacho, hapo akili huru inakataa.
Hio habari ni 💯 nyie endeleni kubisha tuAcha propaganda bana ndugu dunia imebadirika habari kama iyo ingekuwepo kila mtu mfuatiliaji angeipata
Akuna habari kama iyo na hakuna masharti kama hayo km iyo habari umeipata msikitini kwenu ulipoenda kuswali bas sawa
Alicho pata USA ni Kuzuia Iran asiwe na Nuclear Boom wakati tokea wakati wa Obama Iran ilikubali kuto kuwa na Nuclear Boom 😄Hakuna masharati yanayopendelea upande mmoja tu bila kuangazia kipi USA kwa upande wake na yeye atanufaika nacho, hapo akili huru inakataa.
Hahaha ujumbe wa Iran upo wazi ukigusa South Beirut sio South Lebanon au Gaza hivi hamfahamuPole sana, Israel anamwaga moto Gaza huko. Iran wamenywea, utafikiri sio wao waliokua wakipiga mikwara.
View attachment 3606237
Nenda kale ugali ulale USA kisha chapwa hamna zaidi ya story za kanga kwanza mlikuwa ndio mnajidai mwamba wenu kupiga Waislam hahaha F35A imekuwa jokes mbele ya Irankwa hakika wewe siyo muirani na wala hauishi huko ndiyo maana kwako kila kitu ni mzaha na simba vs yanga, unaleta kejeli na mzaha na maisha ya watu typical tanzagiza, au unafikiri wairani wao wanaruhia kupigwa mabomu na nchi yao kuharibiwa ili wewe ulete ushindani wa simba vs yanga?
eti Trump kasalimu amri, kwa hiyo ulitakaje kwamba aendelee kurusha mabomu na kuuwa ndiyo awe mshindi kwako au? kwa hiyo kwako umeshamuona dhaifu?
you dont really care about irani people vinginevyo usingeleta ushabiki kwenye maisha ya watu, such a psychopath …
Nenda kale ugali ulale USA kisha chapwa hamna zaidi ya story za kanga kwanza mlikuwa ndio mnajidai mwamba wenu kupiga Waislam hahaha F35A imekuwa jokes mbele ya Iran
View: https://youtube.com/shorts/-yRjTzAM2Ys?si=-55i_Sl4qh7voGBe
Na wewe ni Muisrael au Mmarekani kenge mmoja wewe ngojea wa sign USA na Iran tuone kama Israel atagusa hata Gaza na South Lebanon kwa sasa Iran kaweka Redline pale South Beirutlkn wewe siyo muirani na wala hauishi huko, ulichokiandika hata waiarani wenyewe wakikusoma watakushangaa, unaleta mzaha na ushabiki wa simba vs yanga kwenye real life na sufferings za watu?
wairani wenyewe wanaoishi irani wanasali na kuomba Mungu vita isimame, ila wewe unaketa kejeli …
Huwezi jumla jumla ukamuamini USA katika hii vita. Angalau unaweza kuamini Israel.Masharti ni haya yafuatayo
1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran
2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha)
3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran
4 Waondoe sunction ya baharini
5 HORMUZ itafunguliwe baada siku 60 kwa kuwasiliana na Iran
6 Waijenge Iran kwa pesa wamekadiria kuwa 100 Billion hapo ni Gulf states na USA ndio watajenga kwa pesa zao
7 Iran atakubali kuwacha kumiliki Nuclear Boom na hio tokea wakati wa Obama walikubali lakini ataendelea kuwa na Nuclear ya peaceful
8 America katika kipindi hichi cha mazungumzo asiongeze jeshi lake pale Hormuz wala asifanye sunction ya aina yoyote ile
9 Pesa zote za Iran waziwachie katika kipindi cha siku 60 na nusu waziwachilie kabla ya mazungumzo hayo ya siku 60 na kuondoa sunction zote za mafuta ya Iran
10 Hakuna kugusa point ya aina yoyote kuhusu Missiles za Iran
11 Hormuz ni haki ya Iran kufanya ambacho anataka ku charge au kuruhusu wspite bure
Kuna Point 14 nime quote hizo 11 ki ujumla point zote zinampa ushindi Iran
View: https://youtu.be/Hd_oV3fR_ps?si=Dq8urYU-EQzdns5Q
Una udini wa kijinga weweAyatola yenu mljadiliana uko Kwenye magroup yenu ya wasap ya TEC
Mmarekani wa kibororoni
Atafanya nini USA hana budi inabidi akubali tu kupigana na Iran au akubali masharti ya Iran afu sa hivi Iran anasema hata Hormuz wakifungua baada ya kusign mkataba hakuna kupita bure hahaha Iran ni baba laoHuwezi jumla jumla ukamuamini USA katika hii vita. Angalau unaweza kuamini Israel.
Ninachosema ni kuwa Hao jamaa USA na Israel, walikuwa wanapima kina. Watarudi tu hata kama ni miaka mitatu ijayo. Safari hii Iran kawadindia, ila wakirudi watamchapa kisawa sawa. Siyo wa kuamini haoAtafanya nini USA hana budi inabidi akubali tu kupigana na Iran au akubali masharti ya Iran afu sa hivi Iran anasema hata Hormuz wakifungua baada ya kusign mkataba hakuna kupita bure hahaha Iran ni baba lao
Na wewe ni Muisrael au Mmarekani kenge mmoja wewe ngojea wa sign USA na Iran tuone kama Israel atagusa hata Gaza na South Lebanon kwa sasa Iran kaweka Redline pale South Beirut
Ukanisa ni noma sana ulikuwa wapi pale Israel anashambulia Gaza au South Lebanon na wakati wamesign na peace mbona kwa Iran anakacha na wakati hawakusign naye peace hahaha
Hahaha wakanisa ni noma sana hivi wewe unadhani Iran watakapo rudi ndio atakuwa hana nguvu wakati pesa zake zote zitakuwa zimerudi na hao Gulf states nani atataka ujinga tena wa kulindwa na USA niliwambia habari ni ya kweli tena live mkadhani mimi yule muuza kanga za Tela Aviv Echolima1Ninachosema ni kuwa Hao jamaa USA na Israel, walikuwa wanapima kina. Watarudi tu hata kama ni miaka mitatu ijayo. Safari hii Iran kawadindia, ila wakirudi watamchapa kisawa sawa. Siyo wa kuamini hao
You wait and seeHahaha wakanisa ni noma sana hivi wewe unadhani Iran watakapo rudi ndio atakuwa hana nguvu wakati pesa zake zote zitakuwa zimerudi na hao Gulf states nani atataka ujinga tena wa kulindwa na USA niliwambia habari ni ya kweli tena live mkadhani mimi yule muuza kanga za Tela Aviv Echolima1
Iran's 14-point deal to end war
1 An immediate and permanent ceasefire on all fronts, including in Lebanon.
2 The United States commits to non-interference in Iran's internal affairs and to respecting the sovereignty of the Islamic Republic of Iran.
3 The complete lifting of the naval blockade within 30 days.
4 The United States commits to withdrawing its forces from the area around Iran.
5 The reopening of the Strait of Hormuz within 30 days, under arrangements made by Iran.
6 The suspension of sanctions on the sale of oil, petrochemical products and related derivatives, together with full access for Iran to its financial resources.
7 The United States and its allies to provide reconstruction plans for Iran worth at least $300bn.
8 The parties will spend 60 days negotiating a final deal about nuclear issues and the complete removal of US, UN, and IAEA-related sanctions and restrictions.
9 A reaffirmation of Iran's commitment in the Nuclear Non-Proliferation Treaty to not produce nuclear weapons.
10 During the negotiations, the United States commits not to increase its forces in the region and will not impose new sanctions.
11 The release of $24bn in frozen Iranian funds during the 60-day negotiation period. Half of this amount must be made available to Iran before the negotiations begin.
12 The establishment of a monitoring mechanism to oversee implementation of the agreement.
13 The final agreement to be approved by a UN Security Council resolution.
14 Final negotiations will not begin until half of Iran's frozen funds have been released, sanctions on Iranian oil have been suspended, and the naval blockade has been lifted. The negotiations will focus solely on enriched nuclear material and enrichment activities, the lifting of sanctions, and Iran's economic reconstruction programme. Discussions regarding Iran's missile programme and its support for resistance groups have been explicitly excluded from the agenda.