startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,756
- 1,955
Usisahau wakati mabwana zako wanakuleteeni hiyo dini unayojivunia. Babu zako waliwafanya hiviSwali lipi wewe dogo wewe unadai mimi sio mu Irani je wewe ni Myahudi? Au Mmarekani mbona huwa unashangilia vita wakianzisha sa ni kosa kuishangilia Iran. Nendeni mkatunge bibilia ingine mseme Iran haruhusiwi kuigusa Israel akiigusa itadhurika hahaha Ukanisa ni upagani mtupu
Kadri anavyotafuta upenyo ndivyo kadri Iran wanakua more resilient.Ndicho kitu nasema! US anatafuta upenyo na ipo siku ataupata ili Kiu yake iwe quenched
Wamiliki wakuu wa biashara ya utumwa ni wazungu. Hao waarabu walikua ni middle men. Trans atlantic slave trade ndio ilikua major slave trade inayomilikiwa na kina Columbus. Walivyoona kumeanza industrial revolution ndio wakaamua kukataza biashara ya utumwa. Unadhani sisi ni wajinga hatujui!?Usisahau wakati mabwana zako wanakuleteeni hiyo dini unayojivunia. Babu zako waliwafanya hivi
Kama Una roho wa Mungu na unatangaza dini kwa nini uwe middle man umuuze binadamu mwenzako kama nyanya?Wamiliki wakuu wa biashara ya utumwa ni wazungu. Hao waarabu walikua ni middle men. Trans atlantic slave trade ndio ilikua major slave trade inayomilikiwa na kina Columbus. Walivyoona kumeanza industrial revolution ndio wakaamua kukataza biashara ya utumwa. Unadhani sisi ni wajinga hatujui!?
Kilwa iliendelea kwa namna zote kwa biashara za waajemi na waarabu kabla wareno hawajapabomoa.
Waliofanya hivyo ni waarabu wote!? Kisa cha waarabu wachache ndio ujumuishe kwa wote!?Kama Una roho wa Mungu na unatangaza dini kwa nini uwe middle man umuuze binadamu mwenzako kama nyanya?
Hata wewe unatumia justification ya wazungu wachache kuattack Christianity as religionWaliofanya hivyo ni waarabu wote!? Kisa cha waarabu wachache ndio ujumuishe kwa wote!?
Mbona humzungumzii Said bin Salim aliyeuawa Tanga na wajerumani kisa kuitetea Tanga kipindi cha ukoloni??
Mbona huwazungumzii waarabu walioiendeleza Kilwa kwa biashara kabla wareno kuvamia!??
Wakatoliki na mapentekosti walianzisha harakati za kimishenari ili kupata mali na kuanzisha ukoloni au umesahau hilo nikutajie majina!??
Je hao ndio wema?
Nitajie wazungu wakawaida waliokuja huku kusambaza ukristo kiamani kabla ya wamishonari wa kikoloni!??Hata wewe unatumia justification ya wazungu wachache kuattack Christianity as religion
Unadhani kipindi hao wamishonari wanakuja huku wazungu wenzao wa kawaida uropa walikuwa wanajua?
Acha ulofa mwarabu wa kawaida anapandaje jahazi kwenda mbali na kwao? Yaani ni sawa na mama ntilie apande meli kwenda bara lingine akatafute maishaNitajie wazungu wakawaida waliokuja huku kusambaza ukristo kiamani kabla ya wamishonari wa kikoloni!??
Nitajie kama vile waarabu wa kawaida kina Said bin Salim walivyofika Tanga na kuinufaisha Tanga!? Nitajie wazungu hapa.
Lofa mimi au wewe. Said bin Salim mbona alitoka Oman na akaja Tanga zigua alianzisha makazi na biashara na kuwa kiongozi wa zigua na hakuuza mtumwa wala kufanya watu watumwa!??Acha ulofa mwarabu wa kawaida anapandaje jahazi kwenda mbali na kwao? Yaani ni sawa na mama ntilie apande meli kwenda bara lingine akatafute maisha