jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 400
- 1,429
🚨 BREAKING NEWS 🚨
Rais wa Marekani, Donald Trump, anadaiwa kufikiria kutoa Dola Bilioni $30 (shilingi trilioni 78 za Tanzania) kwa Iran ili iachane na mpango wake wa nyuklia.
Je, kiasi hiki cha pesa kinaweza kuifanya Iran kusalimu amri au ni mbinu nyingine ya kisiasa ya Trump kutafuta ushawishi wa kimataifa? 🌍
Wachambuzi wanasema Iran inaweza kutoitikisa ofa hiyo kirahisi, hasa ikizingatiwa kuwa silaha za nyuklia ni sehemu ya nguvu na nafasi yake ya kimkakati katika Mashariki ya Kati.