Trump kurejea katika mitandao ya kijamii na mtandao wake mwenyewe

Trump kurejea katika mitandao ya kijamii na mtandao wake mwenyewe

Trump tunakusubiri na mtandao wako sisi tunajiunga tu.

Watu wengi wamechoshwa na hii mitandao, wanataka ladha mpya.

Kama kipindi hiki twitter wameonyesha udhaifu wa hali ya juu sana.
 
Mbona alishaanzisha Parler inavurumishwa kutoka Apple store na Play store.

Hio App yake ataiuppload wapi?
 
Unaposhindana na mwenye pesa,ushawishi na uzoefu kwenye nyanja nyingi inabidi uwe makini sana, huyu Jamaa ana vyote hivyo, wakimfanyia visa anaweza anzisha hata kampuni ya kutengeneza sim,computer nk na ikafanya vizuri, watu wanahitaji uhuru na taarifa bila vipingamizi nafikiri watajifunza kwa cnn na wengine walivyopoteza Wateja na mvuto kwa ajili yake.
 
Kwani huko,US kuna mambo ya bongo ya kina Andungulile na TCRA yake?[emoji1787]
[emoji3] [emoji3]Sidhani kama ni huru kiasi kwamba ikiwa ni tishio kwa usalama wa taifa hawawezi kufanya lolote
 
Hata mimi juzi bodaboda alinichaji bei kubwa,
Hasira zimenipanda nimenunua pikipiki ya kwangu,
Staki tabu
 
Back
Top Bottom