Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

Uyu Kiropo ropo anae muwezea ni Putin tu na kiduku
 
Ayatola lazima ateme bungo ili kusimamisha kiongozi moya pamoja na utawala mpya wa kijeshi ambao utakuwa monitored na CIA.
 
Muongo tu naye kujimwambafy, nani kamuuliza yuko wapi Ayatollah.

Kama anaweza ampige tumuone, anashindwa nini, au nani kamzuia?

Kamdomo kuingilia yasiyo muhusu.

Wakati vita haijaanza alikuwa anatetemeka, sasa Israel kaanza anaona kuna unafuu ndio kamdomo.
 
Chagueni moja, mpo na muizirael au mpo na marekani, maana team yenu ni dhaifu sana inategemea ndondo ili kushinda game zake
 
We jamaa una ubabe wa masela wa Manzese. Eti ampige tumuone.

Ukimuona wewe Selemani wa Tuangoma huyo Iran atafaidika nini?
 
We jamaa una ubabe wa masela wa Manzese. Eti ampige tumuone.

Ukimuona wewe Selemani wa Tuangoma huyo Iran itafaidika nini?
Nchi iko vitani anataka comedy, siyo peace time, amuue tuone kwani tatizo liko wapi?

Vita ni Ushindi wengine wameuwawa tumeambiwa, naye ale hicho kicwa cha Ayatolla tuone kitatokea nini?
 
Wapigwe sana hawa Iran kwani wamewatesa sand marafiki zetu Mayahudi kwa kuwasaifia Hizbollah na wahouth. Wa Avunjevunjwe kabisa na waanze sifuri kabisa. Nawapenda sana Mayahudi
 
Tunafahamu kwa uhakika mahali ambapo anayejiita “Kiongozi Mkuu” wa Iran alipojificha. Tunaweza kumgonga kwa urahisi, lakini yuko salama hapo, hatutamshambulia (kumwua!), angalau si kwa sasa. Hata hivyo, hatutavumilia mashambulizi ya makombora dhidi ya raia au wanajeshi wa Marekani.

Hadi sasa Mkuu wa majeshi ya Iran, Mkuu mpya wa majeshi ya Iran alieapishwa, mkuu wa usalalama wa taifa, Naibu wa usalama wa taifa, Mkuu wa jeshi la mapinfuzi ya kiislam, wanasayansi wakuu wa nuclear, n.k. wameuliwa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…