kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Hayatollah amesemaje!!!Tunafahamu kwa uhakika mahali ambapo anayejiita “Kiongozi Mkuu” wa Iran alipojificha. Tunaweza kumgonga kwa urahisi, lakini yuko salama hapo, hatutamshambulia (kumwua!), angalau si kwa sasa. Hata hivyo, hatutavumilia mashambulizi ya makombora dhidi ya raia au wanajeshi wa Marekani.
Hadi sasa Mkuu wa majeshi ya Iran, Mkuu mpya wa majeshi ya Iran alieapishwa, mkuu wa usalalama wa taifa, Naibu wa usalama wa taifa, Mkuu wa jeshi la mapinfuzi ya kiislam, wanasayansi wakuu wa nuclear, n.k. wameuliwa.
View attachment 3375281
Mjanja sana trump hizo mbinu za kivita sasa ngoja ayatollah ajichanganye atoke huko alipo akimblie kwingine ndio ameisha..Tunafahamu kwa uhakika mahali ambapo anayejiita “Kiongozi Mkuu” wa Iran alipojificha. Tunaweza kumgonga kwa urahisi, lakini yuko salama hapo, hatutamshambulia (kumwua!), angalau si kwa sasa. Hata hivyo, hatutavumilia mashambulizi ya makombora dhidi ya raia au wanajeshi wa Marekani.
Hadi sasa Mkuu wa majeshi ya Iran, Mkuu mpya wa majeshi ya Iran alieapishwa, mkuu wa usalalama wa taifa, Naibu wa usalama wa taifa, Mkuu wa jeshi la mapinfuzi ya kiislam, wanasayansi wakuu wa nuclear, n.k. wameuliwa.
View attachment 3375281
Wala haeleweki,kuna wakati anaongea utadhani yeye ndio Waziri mkuu wa Israel.Trump ana nia ya kumaliza hivi vita au anachochea?
😅😅😅😅😅 ndiyo mtu mnafiki alivyo ila anajiumbua mwenyewe. Mwanzo alisema wao hawausiki kabisa na mashambulizi, ila toka Iran iishangaze dunia, kwa kujibu mashambulizi ipasavyo. Ona anavyoropoka kila analolifanya. Hii inaitwa piga mtoto wa jirani mkorofi, mpaka mzazi anayemtuma ajitokeze.Wala haeleweki,kuna wakati anaongea utadhani yeye ndio Waziri mkuu wa Israel.
Anajisifu kudhibiti anga la Iran,anasifia ubora wa mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran na hapohapo anasifia silaha za Marekani kwa kuweza kuupenya na kuleta madhara kwa taifa la Iran.
Yaani watu wanauwawa,dunia inatishiwa kuangamia, lakini yeye Trump anaona ni fursa yakufanyia promosheni bidhaa za taifa lake!.
Hawezi kujizuia tena,kibaraka wake(Netapaka) yupo kwenye wakati mgumu mno,nilazima yeye mwenyewe (Trump)aingie kupambana au amzuie kibaraka wake ugomvi uishe.😅😅😅😅😅 ndiyo mtu mnafiki alivyo ila anajiumbua mwenyewe. Mwanzo alisema wao hawausiki kabisa na mashambulizi, ila toka Iran iishangaze dunia, kwa kujibu mashambulizi ipasavyo. Ona anavyoropoka kila analolifanya. Hii inaitwa piga mtoto wa jirani mkorofi, mpaka mzazi anayemtuma ajitokeze.
MashaAllah!Muajemi nyie yaàni Anakuua huku anapamba sky Kwa rangi za kupendeza kabisa, hio mpya mzigoni dk 5 to Tel viv
Kweli walipata Rais wa hovyo kabisaWala haeleweki,kuna wakati anaongea utadhani yeye ndio Waziri mkuu wa Israel.
Anajisifu kudhibiti anga la Iran,anasifia ubora wa mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran na hapohapo anasifia silaha za Marekani kwa kuweza kuupenya na kuleta madhara kwa taifa la Iran.
Yaani watu wanauwawa,dunia inatishiwa kuangamia, lakini yeye Trump anaona ni fursa yakufanyia promosheni bidhaa za taifa lake!.
Chief, wewe ni mkongwe JF. How comes unaandika kama gen Z?MWAMBA AMEMWAGIKA MCHANA HUU ANAJUA VIO GOXI WOTE WA KIJESHI WALIPOJIFICHA
HATA RAIS WAO WA IRAN TUNAJUA ANAPOJIFICHA
A ATUTAKI KUMUUWA
CC BBC
KAZI WANAYO NDUGU ZETU
IRAN WILL PAY HEAVY PRICE
CC
NETANYAHU