Watu wanauana kama panya halafu kuna wengine wanafurahia......
COVID19 ilianza hivi hivi tukaona kama maradhi ya China, matokeo yake ikawa tishio dunia nzima kilichotokea imebaki historia. Tujiandae hii vita huenda ikafika mpaka huku kwetu ipo siku wacha tu tuendelee kuona kama yanayotokea hayatuhusu na tuchekelee wenzetu wakiuana