Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
"Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump
•
“Asilimia 80 ya waandamanaji wanatokea nje ya Minneapolis, wanaharibu biashara (hasa za Wamarekani weusi wale Wajasiriamali wadogo), wanavunja nyumba, na kuwasumbua wanaotaka amani, hili halikubaliki na sio tu hasira za George, ipo agenda nyingine”- TRUMP
•
“Kuvuka mipaka iliyowekwa na Serikali na kuendeleza vurugu hadi viunga vya Ikulu ni uhalifu, tuliwaambia Magavana na Mameya wafanye kazi yao wameshindwa, tunaingilia kati na tutafanya kinachopaswa kufanywa, tutatumia nguvu kubwa ya Jeshi letu na wengi watakamatwa”- TRUMP