hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
imagine😃😃Hivi huko si ndo chimbuko na mlezi wa demokrasia. Kama ndivyo kwanini nguvu kubwa itumike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imagine😃😃Hivi huko si ndo chimbuko na mlezi wa demokrasia. Kama ndivyo kwanini nguvu kubwa itumike.
marekaniHivi mbegu ya unafiki kwa wabongo ilipandwa na nani ?
wanachungulia tunakupita mbio[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2]pro America katika huu uzi hautowaona
Hata ubaguzi MKUU huko ndio chimbuko lake mbona.....Hivi huko si ndo chimbuko na mlezi wa demokrasia. Kama ndivyo kwanini nguvu kubwa itumike.
Trump aliwasapoti sana waandsmanaji wa Hong Kong na kuona china ilikuwa inawaonea..sasa yeye kapatwa anapeleka jeshi...dunia ngumu sana"Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump
•
“Asilimia 80 ya waandamanaji wanatokea nje ya Minneapolis, wanaharibu biashara (hasa za Wamarekani weusi wale Wajasiriamali wadogo), wanavunja nyumba, na kuwasumbua wanaotaka amani, hili halikubaliki na sio tu hasira za George, ipo agenda nyingine”- TRUMP
•
“Kuvuka mipaka iliyowekwa na Serikali na kuendeleza vurugu hadi viunga vya Ikulu ni uhalifu, tuliwaambia Magavana na Mameya wafanye kazi yao wameshindwa, tunaingilia kati na tutafanya kinachopaswa kufanywa, tutatumia nguvu kubwa ya Jeshi letu na wengi watakamatwa”- TRUMP
Wewe utakuwa Ni moja ya pro AmericaNi maandamano gani yamefanyika Tanzania ambayo waandamanaji wanavunja supermarket na kuiba vitu, uko sio kuandamana hizo ni vurugu.
Tumieni akili mnapotaka kulinganisha vitu
Natamani nimwambie avumilie. Alifanya Misri, Libya, China, Venezuela nk. Leo zamu yake avumilie.Trump aliwasapoti sana waandsmanaji wa Hong Kong na kuona china ilikuwa inawaonea..sasa yeye kapatwa anapeleka jeshi...dunia ngumu sana
mambo yamegeukaDemokrasia,Democacy,Democratie,Democratia si huwa tunawasikia wanaisema sana China,Libya kipindi kile na nnchi ambazo hazipendi kukaliwa na Usa?
Vip tena imekuwaje
The Most Winner
marekani ni nini ?marekani
US wanafik wanafik sana usiwaamini hata kidogo nakadri unavyokua naukaribu nao ndio wanazidi kukufanyia uadui wao walejamaa hawafai kabisa niwakuepukwaTrump aliwasapoti sana waandsmanaji wa Hong Kong na kuona china ilikuwa inawaonea..sasa yeye kapatwa anapeleka jeshi...dunia ngumu sana
Hehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakuwa Ni moja ya pro America
natamani wapambane pambane kidogo walau miezi sita hv nahao viumbe wanaodai haki zao ili waone majanga wanayokua wanawatwisha wenziwao katika mataifa yao hua yanawaathiri kwakiasi gani.....Natamani nimwambie avumilie. Alifanya Misri, Libya, China, Venezuela nk. Leo zamu yake avumilie.
nilinchi fulani lakipuuzi puuzi tu hv kibaguzi kikatili kiroho mbaya namengineyo mfano wahayo .....marekani ni nini ?
Mmepiga watu risasi waliokuwa wanadai karatasi, hawajavunja hata chupa ya CHAI, halafu mnakuja kutetea waandamanaji wanaovunja maduka? Mkiambiwa mmekabidhi akili ofisini mnacharuka![emoji2][emoji2]pro America katika huu uzi hautowaona
wakiacha ubaguzi hata hizo ghasia hazitakaa ziwepoGhasia siyo maandamano ya amani.
National Guard wamekuwa activated kwenda kutuliza ghasia na kulinda mali za watu wa rangi zote.
Hawajawa activated kwenda kuua watu!
Acheni uzushi.
Nakuona mtoto wa Trump [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni maandamano gani yamefanyika Tanzania ambayo waandamanaji wanavunja supermarket na kuiba vitu, uko sio kuandamana hizo ni vurugu.
Tumieni akili mnapotaka kulinganisha vitu
Hakuna Cha kigogo,mange wala mbweha yeyote yule atakae ongea hata wale wa peoples husikii kabisaDemokrasia,Democacy,Democratie,Democratia si huwa tunawasikia wanaisema sana China,Libya kipindi kile na nnchi ambazo hazipendi kukaliwa na Usa? na amegundua Watu wanataka kuhalibu nnchi hao waandamanaji sasa kama ana heshimu democray hii nayo vip,
hutumia democracy kuzuia maendeleo ya nnchi tuwe makini na kuna chama fulani cha siasa hapa Tanzania watuambie basi maana huwa wanasema wamarekani wana democracy.waje hao wanachama wa Tanzania waseme kitu
Vip tena imekuwaje
The Most Winner